Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Let's call it a day.
PXL_20221123_205829233.PORTRAIT.jpg
 
kuna mwamba alisema Canada sio wa kubezwa nimesahau Id yake...

kauli yake imenifanya niwaangalie vijana wa toronto... wapo vizuri golin angekuwepo mignolet wangeshinda
 
Belgium ataishia 16 bora endapo atafanikiwa kutoboa
Na ndio safari yake itaishia apo timu Haina munganiko axel witsel kachoka sio yule tena beki zao umri umewatupa mkono hadi Leo hii Jan vertonghen na toby ndio beki zao zakutegemewa pale nyuma kocha anashindwa kumtumia vizuri hazard na Kevin huy dogo wa Everton analukaluka tu uwanjani njoo Kwa batshuayi nafasi mia anafunga goli moja
 
Back
Top Bottom