Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Huyu mwamba Diego Forlan sitakuja kumsahau ile World Cup 2010. Asee kuna watu wanazaliwa na vipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba Diego Forlan sitakuja kumsahau ile World Cup 2010. Asee kuna watu wanazaliwa na vipaji
Toka lini vichwa vya wendawazimu vikawa na maajabu
Shetani haswa, na tng siku ile mm namuita shetani. Nikimuona tu nhc kichefuchefu. Simpend mmKwa kitendo kile kule kwao alikuwa shujaa....wakati Africa tulimuona Kama shetani
Unataka atumiwe bomu la nyuklia mpaka ufaransa..? 😂Ila Korea kuna namna refa anapeta
[emoji28][emoji28][emoji28]Hii inaanza na D
Ndio ili FIFA wapunguze timu kutoka Afrikakwamba na ghana nae asifunge hata goli tu?
Aliuweza jabulaniHuyu mwamba Diego Forlan sitakuja kumsahau ile World Cup 2010. Asee kuna watu wanazaliwa na vipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Beshti akee nilikua kwenye mihangaiko ndo nakam baki home. Kwema lakini? Hebu tukonsentrate huku maana Simba kule nia majanga 😆 😆 😆Beshti!!!
Was about to call you...
No see..
Yupo na TakumaWapii Embolo?
Hahahahhaaha balaaa hiliYupo na Takuma
🤣🤣🤣🤣🤣Sijaangalia mechi hata moja ajili ya Tanesco na Tbc😂