Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Personally portugal na argentina siwashabikii....so nilimfurahia sana muarabuBora hawa kuliko waliofungwa Saudi.
Nyie namitamani sana muingie kwenye anga zangu hahaTuache wenye timu tuvimbee 😆 😆 😆
Hivi uko anga la nchi ipi?Nyie namitamani sana muingie kwenye anga zangu haha
Sema jamaa pale ule ulaghai wa wazi wazi ndio mana kateleza haha
Nimerudi pisikali wa mchongo wewe🏃Umerudi Mr. Goose...bata wewe
Anga la mabingwaHivi uko anga la nchi ipi?
Mabingwa wa last season?Anga la mabingwa
Ronaldo alipagawa hapa Ila Costa hapa hamna kipa bora lui Patricio
Bora umesema wewe hawaangalii kabisaSeems like today VAR is not working [emoji19]
Pigia mstari, hatuna mbambamba na silaha kibao za maangamizi zimepata pancha ila bado tunatoa dozi...Mabingwa wa last season?
Kaa hapoTeam Serbia
Haya kila la heri huu ni mpira bana any team can score and win.... niombee tuu Brazil ishinde leo nisipate heart attackPigia mstari, hatuna mbambamba na silaha kibao za maangamizi zimepata pancha ila bado tunatoa dozi...
Neymar kiboko yetu wadada[emoji39]Mabishoo tunaingia sasa nyie wazee vikongwe kaeni pemben muone pira samba pira Brazilian hair,pira amazon,pira sex [emoji1054][emoji1054][emoji1054]View attachment 2426558