Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Namisi kile kizazi cha akina Dunga, Bebeto, Ronaldo, Rivaldo nk. Hii Brazil ya sasa haina mvuto kivile
 
Huyo serbia akipata goli hata la offside mniite mbwa na mje mmchukue yolly yolly[emoji7][emoji7] wangu [emoji1054][emoji1054][emoji1054]
 
Screenshot_20221124-215645_Twitter.jpg
 
Nilikua Nasubir Match za Ufunguzi Zote Ili Nichague timu.
Sasa Rasmi Ni Timu. Ghana, South Korea na Brazil.
 
Back
Top Bottom