United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
afu mtangazaji peter dury mamayeeee kazi ipo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni shida[emoji16]Wee unataka kufa kabla ya siku zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Li Neymar da Silva Santos Jr linaonekana ni litamu 😋Neymer watuuuuuu ❣️😍View attachment 2426615
Duhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Li Neymar da Silva Santos Jr linaonekana ni litamu [emoji39]
Wengine ni masela,wanatumia majina ya kike,na avatar zao ni za kike pia.Jamani hawa warembo wa jf wanazijua ratiba za boli hatari
Kuwa makini mdomo uliponza kichwaHuyo serbia akipata goli hata la offside mniite mbwa na mje mmchukue yolly yolly[emoji7][emoji7] wangu [emoji1054][emoji1054][emoji1054]
Eheeee mwenyeweWanaoangalia Supersport 222 Huyu Anayetangaza ni Peter drury?
YapHivi kina Neymar na Vinicius nao si waswahili tu kama sisi? Tukawashangilie basi
😂😂😂😂😂 mwandiko hatufanani hata siku mojaWengine ni masela,wanatumia majina ya kike,na avatar zao ni za kike pia.
Usidhani wote ni wa kike,japo kuna wadada ni wafuatiliaji wa mpira kwelikweli.
Msenge sana kawa cost sana Ghana na kiherehere chake.Kocha ni matraacall
thanksEheeee mwenyewe