Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yale magoal ya mechi iliyopitaMabeki wamemchoma Mendy, kwa vyovyote asingeweza kusave hili goli
Ilikuwa papo kwa papo ghafla sana..Mabeki wamemchoma Mendy, kwa vyovyote asingeweza kusave hili goli
Mambo bull bullAsanteni jamani.
Mnafki wwIlikuwa papo kwa papo ghafla sana..
Asingeweza kudaka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sipati picha watakavyocheza kwa udi na uvumbaWatasababisha watu wafie uwanjani aise
Previous mechi ilikuwa upumbavu wake.Mnafki ww
Kwani previous match ilikuwaje
Em tokaaa hapaaa [emoji1787]
Hata dana dana 2 hujui kupigaPrevious mechi ilikuwa upumbavu wake.
Ile mechi walipoteza Kwa upumbavu wa Mendy..unadakaje Mpira vile?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Senegal wakitaka kupita hili kundi washinde kwa tofauti ya goli tatu dhidi ya qatar ,ili mechi ijayo na ecuador atafute sare ili asonge mbele
Kwa maana ecuador hawezi kumfunga holland hata siku moja.