MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Bora Wewe Umezungumza Mkuu, Ufaransa Hakua na Cha Kupoteza, Kiuhalisia Nafasi ya Kwanza Kwake Ilikua kwa Asilimia KubwaAh hawa bwana walionekana wazuri kwa kuwa ufaransa hawakuweka majembe yake. Yalivyoingia tuu kiwanja kikainama