Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sijawahi kuona refa akienda kuangalia screen akarudi na maamuzi yale yale. Wanadai Griezmana aliotea hata kama mchezaji wa Tunisia alipiga kichwa. Wanadai pamoja na kupiga kichwa lakini hakucheza kwa hiyo Griezxman hakutakiwa kuucheza huo mpira kwa sababu alitokea offside
Huwa Inatokea Anarudi na Maamuzi Yale Yale, Ila ni Mara Chache Saaana! [emoji1787][emoji1787]
 
France hawakuingia kwa lengo la kusaka ushindi leo hii, ndio maana mwanzoni Kocha aliweka wachezaji kwa kuwajaribu na kuwapa experience ya michuano ya WC
 
Utabiri wangu wa leo lazima utimie
Leo Argentina lazima atamfunga Poland japo najua Poland hawatakubali kirahisi kupoteza hii golden chance waliokwisha pata ya kusonga mbele
Waarabu nao nawaona wakidroo na Mexico so kuna uwezekano Poland wakasonga mbele kwa advantage ya GD nzuri japo lolote laweza kutokea
Group D hakuna mabadiliko, naona France na Australia wakisonga mbele kwa nafasi walizo nazo sasa
Roud of 16
  • France vs Poland
  • Argentina vs Australia
 
Sijawahi kuona refa akienda kuangalia screen akarudi na maamuzi yale yale. Wanadai Griezmana aliotea hata kama mchezaji wa Tunisia alipiga kichwa. Wanadai pamoja na kupiga kichwa lakini hakucheza kwa hiyo Griezxman hakutakiwa kuucheza huo mpira kwa sababu alitokea offside
kabla hata yeye hajapiga mpira kuna mchezaji mwingine wa ufaransa alikuwa ameotea tayari
 
Back
Top Bottom