Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Enzo Fernandez uyo dogo ni balaa kaupiga mwingi sana leo
IMG_7884.jpg
 
Kumbe na wee umemuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli

Jack Grealish pia huwa simwelewagi kabisa ana mambo ya kike
 
Mkuu unataka kusema hizi statistics hazina mchango 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Messi has taken 137 penalties for club and country across his glittering career, with 106 scored and 31 missed, including the latest in the 2022 World Cup against Poland. That's a 77 percent success rate


It's even uglier, however, in his World Cup career. Messi's penalty attempt against Poland was his third in a World Cup, and he's only scored one, which came in the 2-1 defeat to Saudi Arabia earlier this tournament. He also missed one in the 2018 World Cup in a 1-1 draw with Iceland in the group stage.
1669845161276.png
 
From zero to hero
Saudia ile ilikuwa bahati tu ila sio kwamba arg ni wabovu kama mnavyotaka kuaminisha watu...
Nyie hamumpendi Messi kuweni wakweli tu
Waache tu niliwaambia kupoteza sisi ile game inaweza kua hbr Mby sana kwa wapinzan maana tulikuwa hatujapoteza mda na sasa tumeamka na Funzo kubwa tumejifunza hatuwez tena underestimate opponent yoyote hata awe Taifa Stars tunacheza nae[emoji23].

Vamonosssssssss [emoji1033]
 
Argentina vs France mtoano, patamu hapo.
Ipo hivi kulingana na WC bracket. Argentina anakutana na runner wa kundi B ambae ni Australia na akipita hapo ,robo fainali atakutana na mshindi kati ya (Uholanzi vs USA),hapa kote bado Argentina ni strong kwa hao.Kwa hiyo mechi ambayo itakuwa ngumu kwa Argentina ni nusu fainali ambapo kuna uwezekano kukutana na Brazil/ Spain kwa sababu hizi ndo team ambazo zinaweza mpa game tough Argentina. So Argentina kukutana na ufaransa ni labda fainali huko!.
Screenshot-2022-11-14-at-14.34.45.jpg
 
Back
Top Bottom