Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Enzo Fernandez uyo dogo ni balaa kaupiga mwingi sana leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wee umemuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii timu mdebwedo kabisa. Hazard anaitwaje kwenye timu wakati madrid hachezi.
Yale yale ya kim kumuacha mpole bench na kuanza na msuva ambaye hana timu. Makocha nao wanazingua kweli
Kweli mpira una hekaheka🙌Goal difference za Poland na Mexico ni sawa, baada ya kuangalia goal diff, wanaangalia kadi za njano. Mexico wana kadi nyingi za njano kuliko Poland
Nilitamani washinde,wakajizolee private jetEti Saudi ndo wameamka 🤣
Tunajifunza kuanza vibaya sio kumaliza vibaya.
View attachment 2432030
View attachment 2432031
View attachment 2432032
Hahahaha Pole..Kwanini usiangalia pub mpira kama home hamna umeme?Man of all matches leo ni TANESCO
Pumbav sana[emoji706]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sana wakati 2018 walikiwashaDenmark ya safari hii urojo kweli
Wamechezaje?[emoji1787][emoji1787]Leo nilishajua tu kuwa France atacheza fyongo for the fact that, kashafuzu.
Wachezaji wote muhimu kawapumzisha kwa mechi ijayo.
Leo sikuibetia Ufaransa.
Naskia Dom hamkatiwi umeme..Hivi nyie huko Daslam mbona mna shida sana na umeme au kwa sbb mimi nakaa krb na waziri mkuu ndo maana hatukatiwi hahahahaaha
Na alizaliwa Ufaransa hahhahAliyewafunga Ufaransa anacheza ligi ya Ufaransa
Mkuu unataka kusema hizi statistics hazina mchango 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
Messi has taken 137 penalties for club and country across his glittering career, with 106 scored and 31 missed, including the latest in the 2022 World Cup against Poland. That's a 77 percent success rate
It's even uglier, however, in his World Cup career. Messi's penalty attempt against Poland was his third in a World Cup, and he's only scored one, which came in the 2-1 defeat to Saudi Arabia earlier this tournament. He also missed one in the 2018 World Cup in a 1-1 draw with Iceland in the group stage.
Waache tu niliwaambia kupoteza sisi ile game inaweza kua hbr Mby sana kwa wapinzan maana tulikuwa hatujapoteza mda na sasa tumeamka na Funzo kubwa tumejifunza hatuwez tena underestimate opponent yoyote hata awe Taifa Stars tunacheza nae[emoji23].From zero to hero
Saudia ile ilikuwa bahati tu ila sio kwamba arg ni wabovu kama mnavyotaka kuaminisha watu...
Nyie hamumpendi Messi kuweni wakweli tu
Ulikua mtabiri Tambi Tambi mkuu umetisha.Kama nilivyotabiri 99%
Argentina top of the group na Poland
Sasa ni rasmi
- France vs Poland
- Argentina vs Australia
Huyo Denmark sio ndo kashindwa kufuzu sasa tufanyeje mkuu waje hao Australia tu.Argentina Vs Australia
Kuna watu wanatamani waseme tunakutana na timu mchekea
Kijana mzr sana asee ana kila kitu anastaili kuendelea kuanzaEnzo Fernandez uyo dogo ni balaa kaupiga mwingi sana leoView attachment 2432029
Ipo hivi kulingana na WC bracket. Argentina anakutana na runner wa kundi B ambae ni Australia na akipita hapo ,robo fainali atakutana na mshindi kati ya (Uholanzi vs USA),hapa kote bado Argentina ni strong kwa hao.Kwa hiyo mechi ambayo itakuwa ngumu kwa Argentina ni nusu fainali ambapo kuna uwezekano kukutana na Brazil/ Spain kwa sababu hizi ndo team ambazo zinaweza mpa game tough Argentina. So Argentina kukutana na ufaransa ni labda fainali huko!.Argentina vs France mtoano, patamu hapo.
Walilewa ushindi wa argentina. Wacha wakaendeshe magari yao sasaNilitamani washinde,wakajizolee private jet