Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mini ni team Argentina lakini to be honest to myself nilivowaona since game ya kwanza nilijua Hamna kitu pale ni wabovu, hawana mpira wa kuforce kutafuta matokeo hususani wakiwa wamepakiwa basi ndio huwa hawana ujanja kabisa.....

Na akimaliza 2nd position basi France atatufunga si chini ya goal tatu knock out stage....

Kiufupi nipo nao ila najua kuendelea kwake kwa stage za huko mbele ni bahati na sio uwezo maana hana na WC huwezi fika mbali kwa bahati hiyo haipo....

Akipakiwa basi hana penetration pass wala nini....hivi Paul dyabara ni majeruhi???
Acha kua pessimistic.Mpira ni bahati pia.
 
Waache tu niliwaambia kupoteza sisi ile game inaweza kua hbr Mby sana kwa wapinzan maana tulikuwa hatujapoteza mda na sasa tumeamka na Funzo kubwa tumejifunza hatuwez tena underestimate opponent yoyote hata awe Taifa Stars tunacheza nae[emoji23].

Vamonosssssssss [emoji1033]

Za ndaaaani! Ile game ya kwanza bookies waliinunua kwa million dollars za kutosha, kabla hata ya game kuna mshkaji wangu aliniambia yupo huko abroad.

Na tena nikaja kuona tena dark web kuwa bookies walishafanya yao.

Mara ya tatu, kuna uzi fulani humu JF kuna mtu tena alitoa tahadhari watu wasimpe direct win Argentina.

Nilipata ukakasi na sikuamini kabisa, nikasema nijaribu ngoja nimpe Saudia ushindi na alikuwa na odds za kutosha mnoo.

Najuta niliweka pesa kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]

Niliamini ile habari after game, bookies wameharibu sana football nowdays.

Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana mtu kuamini.
 
hii ni WC mjomba inachezwa kila baada ya miaka 4 siyo ligi yenye mechi 38 possibility ya kuhuza mechi ni 0.0075% narudia tena ni WC ile mechi argentina walipewa suprise waliwadharau Saudia
 
Za ndaaaani! Ile game ya kwanza bookies waliinunua kwa million dollars za kutosha, kabla hata ya game kuna mshkaji wangu aliniambia yupo huko abroad.

Na tena nikaja kuona tena dark web kuwa bookies walishafanya yao.

Mara ya tatu, kuna uzi fulani humu JF kuna mtu tena alitoa tahadhari watu wasimpe direct win Argentina.

Nilipata ukakasi na sikuamini kabisa, nikasema nijaribu ngoja nimpe Saudia ushindi na alikuwa na odds za kutosha mnoo.

Najuta niliweka pesa kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]

Niliamini ile habari after game, bookies wameharibu sana football nowdays.

Kwa akili ya kawaida ni ngumu sana mtu kuamini.
Hao bookies hawajanunua game nyinginezo? Hivyo vitu vimekaa kidhahania zaidi
 
Kocha wa Agentina sio mzuri kwenye kuchagua kikosi
Lisandro martinez ni mpigaji pasi mzuri licha ya kucheza beki wa kati, cha kustaajabisha kocha amemweka nje

Ngoja niendelee kuangalia vurugu la timu yenye uhaba wa wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira.
 
A true leader [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Screenshot_20221201-081254.jpg
 
Back
Top Bottom