Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Walikufanyeje?Ile ya Ghana haikuwa penalty walipewa tu na wakakosa.
Nilikuwa nashabikia Uruguay maana nakisasi kisichokwisha na Ghana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikufanyeje?Ile ya Ghana haikuwa penalty walipewa tu na wakakosa.
Nilikuwa nashabikia Uruguay maana nakisasi kisichokwisha na Ghana.
Unaelewa maana ya wastani?
Hivi huko Shule mnasomea ujinga
Kila la heri Argentina
Kila la heri Messi
Hawataamini ila ndo hivyo utawashangaza mwaka huu
VamoooossssVAMOOOOSSSS ARGENTINA!!! 🤍[emoji171]
Mkuu wakati uruguay anadroo na korea alikua kafuzu?Wewe nae sijui unakaza kichwa ,Hao wamekutana na timu zimeshafuzu na kuweka kikosi b Tena kucheza kwa tahadhari ,hakuna high pressing , energy ,kiufupi walikuwa wanacheza kukamilisha ratiba ,kitu gani huelewii hapo ....!!
Maombi yenu huwa hayajibiwiii siku zoteMnapigwa leo
Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] VamoooooosssssssssArgentina inacheza leo na dunia nzima inayo furaha
12Ni usiku mechi sio?
Siamini kama Japan ameweza kumfunga Spain. Kuna mbinu imechezwa hapa kumkata Mjerumani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka unaota kijanaWaargentina ubingwa ni wetu, tena mchana kweupee, hakuna team yakutuzuia, nimefuatilia spain, brazìl, England, croatia na hata ufaransa,, aise hawana mpira.
Utabiri wangu Morocco na Argentina wanakutana final
Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Vamoooooosssssssss
Ishindwe kuchukua ubingwa Argentina ina aguero, milito ije ichukue Argentina yakina papu gomez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waargentina ubingwa ni wetu, tena mchana kweupee, hakuna team yakutuzuia, nimefuatilia spain, brazìl, England, croatia na hata ufaransa,, aise hawana mpira.
Utabiri wangu Morocco na Argentina wanakutana final
Dunia ya mtaa wenu labda [emoji23][emoji23][emoji23]Argentina inacheza leo na dunia nzima inayo furaha
Nikajua mlingoti wenuJana alidaka yule pazia wa City[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amka unaota kijana
Bas itakuwa usikuSaa 12 ni uholanzi