Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hio haibadilishi kuwa Japan na Korea ni weak team zimezopita kihuruma huruma tu kwenda 16 Bora ,kiufupi hata wao hawajui kwanin wamefika hatua ile,world cup haina bahati ....hivyo Basi hawa wanaenda kupigika mpaka wachakae Kama huyo Korea masikin ya Mungu sijui kamfuata Brazil wa nin [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....

Bora hata Senegal ,japo na yeye mwisho wake ni leo.....
....
Ona ulivyo mpira hujui we Kilaza😂😂😂

Amini usiamini Senegal anashinda leo, kaa kimya mpira hujui. Na mpira wa sasa hautabiriki! Wewe umetoa kauli kwa kuangalia majina
 
Timu za EPL na uwakilishi wao kwenye WC 2022
  1. Man City = 16
  2. Man U 13
  3. Chelsea 12
  4. Spurs 11
  5. Arenal 10
Waliobaki hadi sasa by percentage ya walioanza
  1. Arsenal = 9 (90.0%)
  2. Man U = 11 (84.6%)
  3. Chelsea = 10 (83.3%)
  4. Man City = 13 (81.3%)
  5. Spurs = 8 (72.7%)
 
Ona ulivyo mpira hujui we Kilaza[emoji23][emoji23][emoji23]

Amini usiamini Senegal anashinda leo, kaa kimya mpira hujui. Na mpira wa sasa hautabiriki! Wewe umetoa kauli kwa kuangalia majina
Achana na timu inayoitwa England wewe ,timu ya dunia ,timu ya wachambuzi ,timu ya wanamichezo wote dunia ,timu yenye mashabiki wengi duniani ,timu ambayo Hadi referee anayechezesha Leo anaishabikia ....

iwe mvua au jua ,goli la mkono au offside ,penalty ya kupewa au halali ,lazima leo England afuzu ,huyo Senegal atafute ndege ya kupanda mapema wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hakuna timu yeyote Africa inaweza kumtoa England kwenye hatua Kama hizi world cup haipo ....narudia Tena hakuna timu yeyote Africa hata tukiungana Africa nzima ,...... England Ni habari nyingine kwa upande wa soka .....

Wewe mtoto mdogo tulia ,hujui mpira ,....
 
VAMOOOOOSSSS ARGENTINA[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat[emoji238]

IMG_0859.jpg
 
Achana na timu inayoitwa England wewe ,timu ya dunia ,timu ya wachambuzi ,timu ya wanamichezo wote dunia ,timu yenye mashabiki wengi duniani ,timu ambayo Hadi referee anayechezesha Leo anaishabikia ....

iwe mvua au jua ,goli la mkono au offside ,penalty ya kupewa au halali ,lazima leo England afuzu ,huyo Senegal atafute ndege ya kupanda mapema wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hakuna timu yeyote Africa inaweza kumtoa England kwenye hatua Kama hizi world cup haipo ....narudia Tena hakuna timu yeyote Africa hata tukiungana Africa nzima ,...... England Ni habari nyingine kwa upande wa soka .....

Wewe mtoto mdogo tulia ,hujui mpira ,....
Mzee mimi mwenyewe ni Shabiki wa England kindakindaki alafu nakushangaa unavyoniita mtoto mdogo😊😊😊

Nimesoma masters U.K na niliwahi kwenda kushuhudia game ya Portugal na England na marafiki zangu mwaka 2006(germany).... afterall nakwambia Wanafungwa leo England hata mimi ni shabiki wa England kama unabisha fatilia comment zangu za mwanzo.
 
Mkuu unajieleza sana lakini ukweli messi hana world cup

Hata hzo record alizonazo messi bila wachezaji wenzake asingezipata coz hawezi kujigawa

Simply umeandika Non sense

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata yy hua anakiri hvo kwenye interview zake. Kwamba he believes in team work na team nzuri ndo huleta matokeo mazuri zaidi.
 
Ila kumbuka Euro sio kama WC
Kiule style of play iko very common karibu kwa timu zote ila unapokuja WC Cup unakutana na different style of play and many suprises in the pitch. Kuan wachezaji kutoka South Europe kwa mfano wanataka kuonekana kwenye ligi kubwa na timu kubwa kwa ajili ya mikataba mikubwa na kwa hiyo watajitoa mhanga kweli na ndio maana kwenye WC hakuna timu inamaliza imeshinda yote
Ebana we jamaa unaonekana una profesionalism kubwa sana! 👊🏾🙏🏾

Bonge la point! 👍🏾
 
Achana na timu inayoitwa England wewe ,timu ya dunia ,timu ya wachambuzi ,timu ya wanamichezo wote dunia ,timu yenye mashabiki wengi duniani ,timu ambayo Hadi referee anayechezesha Leo anaishabikia ....

iwe mvua au jua ,goli la mkono au offside ,penalty ya kupewa au halali ,lazima leo England afuzu ,huyo Senegal atafute ndege ya kupanda mapema wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hakuna timu yeyote Africa inaweza kumtoa England kwenye hatua Kama hizi world cup haipo ....narudia Tena hakuna timu yeyote Africa hata tukiungana Africa nzima ,...... England Ni habari nyingine kwa upande wa soka .....

Wewe mtoto mdogo tulia ,hujui mpira ,....
Leo sasa ndio munapakuliwa kama pilau la khitma.
Hiyo ni timu ya magazetini tu, kwenye uhalisia ni weupe kama chokaa.
 
Senegal tunakupenda sana ila leo tayarisheni ndege yenu mapema ili kuokoa gharama za kuishi bure Qatar
  1. France beat Poland
  2. England beat Senegal
Utakua umebet sio bure.
Sasa leo ndio utajua kua ngozi ya goti imedhamiria ndani ya michuano hii....

Nakushauri, pesa yako ni bora ukanunue kipande cha sabuni upigie nyeto tu, wenda utapata utamu.
 
Tubaki na argentina tu

Mimi napenda uholanzi pia ila kwa mwaka huu watusubiri
Sa itakuwaaje.....Mimi nipo kwenye wakati mgumu Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Netherlands ni chama langu tangu 2010 kule south..
Ila Argentina naipenda ( of course nimekuwa inspired Sana na Messi)
Maombi yenu tafadhali[emoji23][emoji23]
 
Senegal tunakupenda sana ila leo tayarisheni ndege yenu mapema ili kuokoa gharama za kuishi bure Qatar
  1. France beat Poland
  2. England beat Senegal
Mkuu twende na mkoloni, achana nao wanajipa matumaini ya bure, leo wanapigwa clean sheet halafu wataukimbia huu uzi,ngoja tuwaoshee na ndege yao wasijesema inavumbi
 
Laliga?
Timu za EPL na uwakilishi wao kwenye WC 2022
  1. Man City = 16
  2. Man U 13
  3. Chelsea 12
  4. Spurs 11
  5. Arenal 10
Waliobaki hadi sasa by percentage ya walioanza
  1. Arsenal = 9 (90.0%)
  2. Man U = 11 (84.6%)
  3. Chelsea = 10 (83.3%)
  4. Man City = 13 (81.3%)
  5. Spurs = 8 (72.7%)
 
Kama hao korea na mpira wao ule wa kukimbia

Wale masharobaro wa Brazil watagonga waludi na masikitiko
 
Back
Top Bottom