Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Ona ulivyo mpira hujui we Kilaza😂😂😂Hio haibadilishi kuwa Japan na Korea ni weak team zimezopita kihuruma huruma tu kwenda 16 Bora ,kiufupi hata wao hawajui kwanin wamefika hatua ile,world cup haina bahati ....hivyo Basi hawa wanaenda kupigika mpaka wachakae Kama huyo Korea masikin ya Mungu sijui kamfuata Brazil wa nin [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....
Bora hata Senegal ,japo na yeye mwisho wake ni leo.....
....
Amini usiamini Senegal anashinda leo, kaa kimya mpira hujui. Na mpira wa sasa hautabiriki! Wewe umetoa kauli kwa kuangalia majina