Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Vile wenye chuki wanaangalia mechi
FB_IMG_16703917954022575.jpg
 
Mimi siwaelewi watu wanaosema FIFA imepanga Messi anyanyue kwapa WC.
Hivi kwa WC hii ya 2022, kweli mtu unathubutu kuongea upuuzi huu?
Mtanange umekuwa mkali kwa kila timu, zilizoshiriki tumeona maajabu ya underdog team zilivyofanya maajabu.

Tumeona zilizotegemewa kuingia fainali, zikiondoka kwa vilio.
Bado mtasema Messi anapendelewa?
So toka walivyoanza walikuwa wanapewa maelekezo?
Argentina mpaka kufika hapa ni jitihada jamani, kama ilivyo Morocco.
 
Back
Top Bottom