Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hawa jamaa jinsi wanavyocheza mpira
Sio kama team za africa zinavyocheza.

Kwanza wanacheza kuanzia nyuma, wanacheza kwa mipango, wanajiamini na wabunifu wakiwa na mpira.

Hakuna team ya africa inayocheza hivi dhidi ya wababe wa ulaya, hata tukicheza sisi waafrica wenyewe kwa wenyewe hakuna team inayocheza hivi, hakuna.

Hawa sio waafrica kabisa, hata kama watatoka lakini ukweli ni kwamba jamaa ni [emoji91]
 
Back
Top Bottom