Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ngoja tuone hatujakata tamaa kiivo!Ata Kama Tunatoka Sisi Wamoroco tumecheza Mpira Kiukweli. Japo Hatutoki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone hatujakata tamaa kiivo!Ata Kama Tunatoka Sisi Wamoroco tumecheza Mpira Kiukweli. Japo Hatutoki.
Ni utani wa soka tuHvi huyu alikuchukuliaga mke au🤣
Wanajua kushangilia aisee hadi nimewapendaKwa kweli Morocco wana roho ngumu, nimependa mashabiki wao wanashangilia mwanzo mwisho...
Leo France anatumia akili zaidi kuliko nguvu sawa na Argentina jana kamilikiwa mpira lakini Croatia kafungasha viragoHa haha kwan mkuuu MBAPE NA DEMBELE huwaoni? Hao nao wanawaita GOT
We nyoko kweli 😂😂
Acha mihemkoo tulia mpira upo uwanjani na ni dakika 90..Hawa jamaa jinsi wanavocheza mpira
Sio kama team za africa zinavocheza...
Calm downnimesikia wimbo wa rema umepigwa hapo uwanjani
Hakuna goli la wazi bhana alokosaGiroud kakosa magoli mawili tena ya wazi kabisa daaah...[emoji57]
Maajabu utashangaa atakuja kufunga goli gumu kweli [emoji38]
Ukitulia uwa unachambua mpira vizuri ila ukishalewa Sifa za Messi unakua kama kichaaGiroud kakosa magoli mawili tena ya wazi kabisa daaah...[emoji57]
Maajabu utashangaa atakuja kufunga goli gumu kweli [emoji38]
Na atayakumbuka hyo magoli ikitokea moroco wakasawqzisha. Moroco leo wanachezw vzr sn sn yn mechi bado mbichi hiiGiroud kakosa magoli mawili tena ya wazi kabisa daaah...[emoji57]
Maajabu utashangaa atakuja kufunga goli gumu kweli [emoji38]
Hakuna cha jicho ndugu.Hii game ukiangalia kwa jicho la kimpira kuna uwezakano Mkubwa Morocco akashinda.
😀 😆 byeeeWe nyoko kweli 😂😂
Umeelewa nilichoandika, hata wakitokaila ukweli ni kwamba wanacheza tofauti kabisa na team za africaAcha mihemkoo tulia mpira upo uwanjani na ni dakika 90..