Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

HIVI KWANINI LEO KOCHA WA FRANCE HAJAMCHEZESHA MBAPE???!
F0A9707D-7D6E-4CF5-A1A9-0E07DA11C6AF.jpeg
 
Naona Ufaransa wameshasalimu amri
dk ya 60
Shots = 0
On target = 0
Goals = 0

Argentina
Shots =9
On target = 5
Goals = 2
 
Nilikuwa natamani france abebe ndoo lakini sioni dalili, France wamezidiwa hapo kati, hawana mipango labda deschamps afanye jambo ila sioni dalili..

Argentina wako vizuri, mipango ya kocha ni mizuri.

Pogba na ngolo kante ilikuwa ni pengo kubwa saana.


Giroud 😂 nasema kila siku si mchezaji wa kutegemea, unahitaji kumilili mpira kutengeneza nafasi nyingk, krosi nyinggi ili akuoe kitu, lakini sio ttimu yako ipaki basi yeye akae mbele, ni sawa mko pungufu.
 
Back
Top Bottom