Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wale Team Ronaldo mliohamia Team Mbappe Mko aje huko?
Au tuwaache kidogo[emoji1787]

Nyieee....
Mimi leo nina furaha ya Ajabu...
download.jpeg

ecdd20c4026f3a12184d9e74891e25cf.jpeg
 
Nilikuwa natamani france abebe ndoo lakini sioni dalili, France wamezidiwa hapo kati, hawana mipango labda deschamps afanye jambo ila sioni dalili..

Argentina wako vizuri, mipango ya kocha ni mizuri.

Pogba na ngolo kante ilikuwa ni pengo kubwa saana.

Giroud 😂 nasema kila siku si mchezaji wa kutegemea, unahitaji kumilili mpira kutengeneza nafasi nyingk, krosi nyinggi ili akuoe kitu, lakini sio ttimu yako ipaki basi yeye akae mbele, ni sawa mko pungufu.
Mkuu France hajazidiwa kati tuu,
Kipa mwenyewe kazidiwa,

Giroud Mwenyewe sijawahi muamini ila mzee wa watu ashajitokea...
Hawa jamaa leo hawana chao,
Wakishinda hii gemu ni ubakaji.
 
Nilikuwa natamani france abebe ndoo lakini sioni dalili, France wamezidiwa hapo kati, hawana mipango labda deschamps afanye jambo ila sioni dalili..

Argentina wako vizuri, mipango ya kocha ni mizuri.

Pogba na ngolo kante ilikuwa ni pengo kubwa saana.

Giroud [emoji23] nasema kila siku si mchezaji wa kutegemea, unahitaji kumilili mpira kutengeneza nafasi nyingk, krosi nyinggi ili akuoe kitu, lakini sio ttimu yako ipaki basi yeye akae mbele, ni sawa mko pungufu.
Pengo la Pogba na Kante ni kubwa sana Sena Argentina wamecheza Kwa kujitoa sana France kama wamepigwa spana miguuni
 
Back
Top Bottom