Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Jamaa aongeze tu kabati tena, hahahKaka hii sio hata ya kuuliza.
Iyo tuzo no. 8 iko kabatini tyr.
Vamoooooooooos Albiceleste [emoji1033]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aongeze tu kabati tena, hahahKaka hii sio hata ya kuuliza.
Iyo tuzo no. 8 iko kabatini tyr.
Vamoooooooooos Albiceleste [emoji1033]
ILA WE MDADA UNA IMANI SANA!!Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
kila game walikuwa wana improveYan ambacho kilikua kinafanya mm naamin sana hii team... Ilikua ukimsikiliza kila m1 wao wanakwambia watapambana kufa na kupona.
Na iyo spirit iyo ndo umefny had leo tumebeba ubingwa wa dunia.
Na kama kuna game imetupa ubingwa bas ni ile ya Kufungwa na Saudi Arabia asee nilishukr sana sik ile tumefungwa tena game ya kwnz iyo ndo ilitupa kuamka mapema kua tunabid tuwe serious na hapo kocha ndo akajua ss team yake ya kwnz ni ipi na watu gn watokee bench.
Asee iyo game sisi kufungwa ukiniuliza mm ndo ilikua safar ye2 ya ubingwa inaanzia hapo..
IT WAS WRITTEN ALL OVER THE STARS AND FINALLY GOD[emoji1488] MADE IT HAPPEN FOR THE LOVE OF THE BEAUTIFUL GAME[emoji1033]
VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033]
Let us enjoy brother.Well said mkuu.
VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Leo is my Goat🤍[emoji171]
[emoji238]….
mimi nina historia na Mungu....nina shuhuda nyingi mnoo za kumuona Mungu akitenda kwangu basi tu binadam tunasahau na kuiangalia dunia....ila Mungu yupo na ukiwa chini bila msada wowote anasimama kukuinua.ILA WE MDADA UNA IMANI SANA!!
Naamini na kwenye maisha ya kawaida uko hivyohivyo!!
MUNGU AKUZIDISHIE BARAKA SANA[emoji120][emoji120]
Yan wapinzan wetu kwa hii miaka mi4 hawana cha kutuambia.Jamaa aongeze tu kabati tena, hahah
Let us enjoy brother.
Drury anamsemo wake.. Anakwambia Albiceleste can dance all night now they are on top of the World Football.
Messi the#[emoji238]
Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
miaka 4 hatuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaYan wapinzan wetu kwa hii miaka mi4 hawana cha kutuambia.
Wana Argentina mwendo ni ule ule usi Quote wala kubishana na hawa haters uchwara Yan bingwa wa Dunia usijishushe hadhi yako kubishana na Takatak.. Sisi ndk Mabingwa wa dunia na hakuna mtu yoyote atatuambia chochote kwa Miaka mi4 ijayo.
Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
Najua tu unamzungumzia huyu Mbuzii..goaaaattttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
apitie pain killer nitamnunulia box zima la dawa 100Huyu jamaa umemtaja sijui ana hali gani hukoalipo?
hahahahahaha mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah messiNajua tu unamzungumzia huyu Mbuzii..
Haka kajamaa bana ni ka Mbuzi kwl kwl[emoji23]
Ka Mbuzi bora ka mda wote. [emoji238]
Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
View attachment 2451316
Kbs baada ya maneno. Na kejel. Zote zile. Hlf watu bado wanaumia eti sisi kufurah.Whooop whooop whooop!!
Let’s enjoy the moment, hakika tunastahili kufurahi.
VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
mimi nina historia na Mungu....nina shuhuda nyingi mnoo za kumuona Mungu akitenda kwangu basi tu binadam tunasahau na kuiangalia dunia....ila Mungu yupo na ukiwa chini bila msada wowote anasimama kukuinua.
hawa wanaume wapatiwe ulinzi maalumu maana ni viumbe adimuIla wanaume wanaocheza mpira body zao zinavutia sana [emoji2957][emoji2957][emoji2957] unataman I wanaume wote wangekuwa hivyo
Nilikua tu ww Nakadori unaongelea haka ka Mbuzi bora ka mda wote. [emoji23][emoji238]hahahahahaha mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah messi
Basi ni vizuri kama alimaanisha ivyo maana ni ukweli kawapiga boluKwamba uliangalia ww tu kwenye tv sio???? Sisi wengine hatukuona et?