Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
ILA WE MDADA UNA IMANI SANA!!

Naamini na kwenye maisha ya kawaida uko hivyohivyo!!

MUNGU AKUZIDISHIE BARAKA SANA[emoji120][emoji120]
 
Yan ambacho kilikua kinafanya mm naamin sana hii team... Ilikua ukimsikiliza kila m1 wao wanakwambia watapambana kufa na kupona.

Na iyo spirit iyo ndo umefny had leo tumebeba ubingwa wa dunia.

Na kama kuna game imetupa ubingwa bas ni ile ya Kufungwa na Saudi Arabia asee nilishukr sana sik ile tumefungwa tena game ya kwnz iyo ndo ilitupa kuamka mapema kua tunabid tuwe serious na hapo kocha ndo akajua ss team yake ya kwnz ni ipi na watu gn watokee bench.

Asee iyo game sisi kufungwa ukiniuliza mm ndo ilikua safar ye2 ya ubingwa inaanzia hapo..

IT WAS WRITTEN ALL OVER THE STARS AND FINALLY GOD[emoji1488] MADE IT HAPPEN FOR THE LOVE OF THE BEAUTIFUL GAME[emoji1033]

VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS [emoji1033]
kila game walikuwa wana improve
ila kama ulivyosema game na saud ilikuwa ni teke la kutusukumia kwenye ushindi wa leo. zile aibu hazikuwa za nchi hii asee
 
Well said mkuu.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]

Leo is my Goat🤍[emoji171]

[emoji238]….
Let us enjoy brother.

Drury anamsemo wake.. Anakwambia Albiceleste can dance all night now they are on top of the World Football.

Messi the#[emoji238]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
ILA WE MDADA UNA IMANI SANA!!

Naamini na kwenye maisha ya kawaida uko hivyohivyo!!

MUNGU AKUZIDISHIE BARAKA SANA[emoji120][emoji120]
mimi nina historia na Mungu....nina shuhuda nyingi mnoo za kumuona Mungu akitenda kwangu basi tu binadam tunasahau na kuiangalia dunia....ila Mungu yupo na ukiwa chini bila msada wowote anasimama kukuinua.
 
Jamaa aongeze tu kabati tena, hahah
Yan wapinzan wetu kwa hii miaka mi4 hawana cha kutuambia.

Wana Argentina mwendo ni ule ule usi Quote wala kubishana na hawa haters uchwara Yan bingwa wa Dunia usijishushe hadhi yako kubishana na Takatak.. Sisi ndk Mabingwa wa dunia na hakuna mtu yoyote atatuambia chochote kwa Miaka mi4 ijayo.

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
 
goaaaattttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
 
Let us enjoy brother.

Drury anamsemo wake.. Anakwambia Albiceleste can dance all night now they are on top of the World Football.

Messi the#[emoji238]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]

Whooop whooop whooop!!

Let’s enjoy the moment, hakika tunastahili kufurahi.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Yan wapinzan wetu kwa hii miaka mi4 hawana cha kutuambia.

Wana Argentina mwendo ni ule ule usi Quote wala kubishana na hawa haters uchwara Yan bingwa wa Dunia usijishushe hadhi yako kubishana na Takatak.. Sisi ndk Mabingwa wa dunia na hakuna mtu yoyote atatuambia chochote kwa Miaka mi4 ijayo.

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]
miaka 4 hatuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
historia im eandikwaaaaaaa
messi kavunja record ya mwishoooooooooooooo
 
goaaaattttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
Najua tu unamzungumzia huyu Mbuzii..

Haka kajamaa bana ni ka Mbuzi kwl kwl[emoji23]

Ka Mbuzi bora ka mda wote. [emoji238]

Vamooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033]

20221219_003045.jpg
 
Ila wanaume wanaocheza mpira body zao zinavutia sana [emoji2957][emoji2957][emoji2957] unataman I wanaume wote wangekuwa hivyo
 
Whooop whooop whooop!!

Let’s enjoy the moment, hakika tunastahili kufurahi.

VAMOOOSSS ARGENTINA!![emoji1033][emoji1033][emoji1033]
Kbs baada ya maneno. Na kejel. Zote zile. Hlf watu bado wanaumia eti sisi kufurah.

Kmmk binadamu hawana jema mkuu.. Yan Pa1 na kutukejel kote kule na matusi yale bado kuna watu wakiona tunafurah wananuna..

Sema ndo ivo sisi hatuna cha kusema zaid ya kusema siis ndo THE NEWWWWWWW WORLD CHAMPIONS [emoji1033]

VAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOS LA ALBICELESTE [emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Back
Top Bottom