Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Fkap_XhWIAEp_gS
 
Mashabiki wa Argentina hongereni sana msiyumbishwe na hao wababaishaji wakosaji wakubwa .
Tangu mashindano yaanze nimehama sana timu cha ajabu kila ninako hamia ndoige inanifuata kila ninakogeukia ndoige hiyooo mpaka nilipohamia Argentina ndio nimetulia
[emoji23]Kwmb ulivo kuja tu kwa Mabingwa bas ukatulia na ubingwa ukapata.

Vamoooooooooos [emoji1033]
Screenshot_20221220_193714.jpg
 
Kipindi cha pele kulikuwa na offside?

Alikuwaga Anakaa na goal keeper
 
Back
Top Bottom