Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna documentary moja niliona wanasema jamaa mcheshi sana dressing room.Hivi Di Maria hua anapiga stori na washikaji zake kweli, mbona kama ni mpole sana
Hakika.Muda wetuuu, muda wetuuu
Jana walibid tu Watumie ss Helicopter maana ilishindikana kuendelea na parade la Ubingwa.Mitaa imetapika watu hadi kinyaa
Jamaa kakimbiza kila sehemu
Vamooooos Mwana Argentina mwenzangu.Jana walibid tu Watumie ss Helicopter maana ilishindikana kuendelea na parade la Ubingwa.
Vamoooooooooos [emoji1033]
View attachment 2453504
Hahahahaaaah Bantu Lady safari hii nilikuwa vizuri....Asanteni wote tuliokuwa pamoja hapa kwenye WC 2022...
Nawapenda wote, nimejifunza vitu vipya kwenye mpira. Brazil ilituangusha wengine. Ila leo tunafuraha sababu ya Argentina. Kombe limeenda America kusini ndugu tu na Brazil.
WC 2022 imekuwa ya kustaajabisha, kusisimua, uchungu na furaha...
Timu zote zile hazikujua, zinawasindikiza kileleni Argentina.
Tuliokuwepo WC ya 2014 na 2018
ilikuwa Katavi akichagua tu team, jueni mmeliwa. 🤣🤣🤣🤣
This time ni Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Panapo uzima tukutane WC ijayo...
Messi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Kiukweli huyu jamaa kapitia kipindi kigumu sana wc hii😀😀😀This time ni @Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hakika tuko Pa1 Mabingwa wa dunia.Vamooooos Mwana Argentina mwenzangu.
It hurts for his career to end that way,i wish asiende huko al nasr anyways wacha tusubr tuoneKwahiyo millard ayo wako ndio mkweli! Mashabiki wa ronaldo mnaumia maskini ya mungu.. vumilieni tu.
Aguero kasema ana heart problems ndomn kastaafu lakin alimbeba pessi juu juu huku anatrot,kapiga mangoma karukaruka kafanya vurugu zote na sjaskia akilala moyo wauma[emoji848]
Mijamaa imechafuka mwil duh