Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huu Uzi bado unaenda tu!!!..... Embu achaneni nao chekini Liverkuku anavyonyonyolewa kesho
 
Muda wetuuu, muda wetuuu
Hakika.

CAMPEONES DEL MUNDO [emoji1033]

20221220_231541.jpg
 
Asanteni wote tuliokuwa pamoja hapa kwenye WC 2022...
Nawapenda wote, nimejifunza vitu vipya kwenye mpira. Brazil ilituangusha wengine. Ila leo tunafuraha sababu ya Argentina. Kombe limeenda America kusini ndugu tu na Brazil.

WC 2022 imekuwa ya kustaajabisha, kusisimua, uchungu na furaha...
Timu zote zile hazikujua, zinawasindikiza kileleni Argentina.
Tuliokuwepo WC ya 2014 na 2018
ilikuwa Katavi akichagua tu team, jueni mmeliwa. 🤣🤣🤣🤣
This time ni Scars naona kila alipoenda wameliwa vichwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Panapo uzima tukutane WC ijayo...
Messi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Hahahahaaaah Bantu Lady safari hii nilikuwa vizuri....
 
Back
Top Bottom