Sawa.Kuna sehemu hapo nimetaja sayansi imetoa majibu kuhusu uwepo wa Mungu?
Nime kwambia hivi , Imani ya binadamu ilifeli kuwapa majibu na uthibitisho wa maswali yao yaliyo watatiza.
(mfano wa maswali hayo ni kama, kifo ni nini? Maisha ni nini?)
Waka anza uvumbuzi na ugunduzi wa Kisayansi.
Hii hoja hai address point yangu ya kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.Maisha ana formula once ukizaliwa lazima ufe! Utakufaje? ni juhudi zako
Yes ana uwezo wa kukupa uhai na kuuchukua mda wowoteHii hoja hai address point yangu ya kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Hujathibitisha hata kwamba yupo, usharukia kwamba ana uwezo wa kunipa uhai na kuuchukua wakati wowote?Yes ana uwezo wa kukupa uhai na kuuchukua mda wowote
Unaweza kuthibitisha wewe upo?Hujathibitisha hata kwamba yupo, usharukia kwamba ana uwezo wa kunipa uhai na kuuchukua wakati wowote?
Unajuaje kwamba Mungu yupo kweli, na hizo habari za kuwepo kwake si hadithi za uongo za watu tu?
Hata mimi nikishindwa kuthibitisha kwamba nipo, hilo halithibitishi Mungu yupo.Unaweza kuthibitisha wewe upo?
Huu uzi nishaachana nao mna ntu ya huku ni vichwa ngumu aiseeDunia Haina mwisho wewe, umekuja na utaenda na watakuja wengine nao wataenda pia, mzunguko ni huo huo tunapita ila Dunia itaendelea kuwepo.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sio kila kitu ni touchable ni kama jamii forum ipo lakini usha wahi kuiona au kuishika?Hujathibitisha hata kwamba yupo, usharukia kwamba ana uwezo wa kunipa uhai na kuuchukua wakati wowote?
Unajuaje kwamba Mungu yupo kweli, na hizo habari za kuwepo kwake si hadithi za uongo za watu tu?
Hapana,Unataka kumuona Mungu?
Kwani wapi nimekwambia nataka Mungu awe touchable?Sio kila kitu ni touchable ni kama jamii forum ipo lakini usha wahi kuiona au kuishika?
Nmekwambia utakufaje ni juhudi zako ila Mungu ana kanuni zake ndio maana anawanyeshea mvua hata kina Kiranga wanao mpingaKama ni formula basi Haina haja kujua utakufaje mana hata ukijua haikusaidii chochote
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nithibitishie dunia ilitoka wapi, (founder)Hapana,
Kuona si uthibitisho wa kitu kuwapo, unaweza kuona kisichokuwepo, halafu usione kilichopo.
Mimi nataka uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Wewe unaweza vipi kuthibitisha kwamba Mungu yupo kweli, na kwamba habari za kuwepo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu?
Ni hilo tu.
Huyo Mungu hujathibitisha yupo, ushakimbilia kusema ana kanuni zake.Nmekwambia utakufaje ni juhudi zako ila Mungu ana kanuni zake ndio maana anawanyeshea mvua hata kina Kiranga wanao mpinga
Nakwambia hivi, hata nikiwa sijui jibu la swali hilo, kutokujua huko hakuthibitishi Mungu yupo.Nithibitishie dunia ilitoka wapi, (founder)
If God does not exist, and you pay all your alms money and tithes to the church, believing that you are fulfilling God's wishes, meanwhile God does not exist, you are just being exploited as an ignorant believer to subsidize a luxurious lifestyle of your pastor, this could cost you so much.It's better to believe there's a heaven because it's not cost full, than not and you find it....[emoji15][emoji15][emoji15]
ulikuwa ugali maharage
aliishi kipindi gani na aligundua niniArchimedes of Syracuse
Mungu ametoa vitabu vyake kuwa kamuumba binadamu kama yupo aliyemuumba mungu na yeye atoe vitabu vyake aseme alivyomtengeneza munguGari lime tengenezwa na binadamu
Wewe unalazimisha kila kitu kiwe na mtengenezaji si ndio? Tufanye basi binadamu katengenezwa na huyo Mungu.
Kama kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji na huyo Mungu lazima awe ametengenezwa, Sasa Mungu ametengenezwa na nani?
Yani wewe unalazimisha binadamu awe na mtengenezaji Lakini una amini Mungu Hana mtengenezaji kwamba alitokea tu from no where!!!!
Kwa nini ushindwe kuamini na ulazimishe Binadamu alitengenezwa na uweze kuamini na ulazimishe Mungu Haku tengenezwa?
Huoni kwamba una ji contradict na msimamo wako wa kwamba lazima kila kitu kiwe na mtengenezaji?
Ametoa vitabu gani? Cha wakristo au Cha waislam? Ama ametoa vyote? Vipi kuhusu dini nyingine pia nje ya kristo na Islam? Au hizo nyingine ni dini za uongo yako ndio sahihiMungu ametoa vitabu vyake kuwa kamuumba binadamu kama yupo aliyemuumba mungu na yeye atoe vitabu vyake aseme alivyomtengeneza mungu