Logically and practically haiwezekani ila kwa hisia zinaishi rohoni. So kihisia inaweza kuwa sawa.Unaongelea kuamini.
Nikikuambia kwamba kuna binti mchanga wa miezi 6 leo, na kuna mwanamme mwenye miaka 30 leo, halafu amini huyo binti mchanga mwenye miezi 6 leo ni mama mzazi wa kibaiolojia wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, utakubali hilo jambo na kuamini?
Ukikubali hilo, hizo habari za hisia, unavunja logic, na hata dhana ya kuwepo Mungu huwezi kuijenga bila kutumia logic .Logically and practically haiwezekani ila kwa hisia zinaishi rohoni. So kihisia inaweza kuwa sawa.
Mbona vitabu vyenyewe vina mkanganyiko (Contradiction) mkubwa na vina tofautiana maelezo kuhusu kuumbwa kwa binadamu.Mungu ametoa vitabu vyake kuwa kamuumba binadamu kama yupo aliyemuumba mungu na yeye atoe vitabu vyake aseme alivyomtengeneza mungu
Aliishi miaka 212 BCaliishi kipindi gani na aligundua nini
Siongelei universe yote....Hapa kunakitu umeongea kinaonesha jinsi gani hauna uelewa na sayansi ya anga.
Kwamba hii existence inategemea jua!?
Utazalisha maswali mengi ambayo utashindwa kuyajibu.
Hiki kijua si kitu cha ajabu wala upekee kama ynavyodhani.
Kwanini unaongelea kijinyota tu kiitwacho Sun peke yake wakati kuna mabilion ya nyota!?
Au hujui kuwa hizo nyota uzionazo hapo kwenye anga ni kama hili jua letu tu!?
Unadhan kuwa nyota ya Sun pekee ndiyo ilianza kuwepo?
Uhakika wa kuwepo hayo mabilioni ya miaka ni facts?!!!Jipe moyo dunia itakuwepo mabilion na mabilion ya miaka haina mwisho hii, ukifa ndio nitoleeni, endeleeni na hizo hadithi zenu.
Utukufu wa Yesu haupatikani katika kutembea juu ya maji....kwani hata wanamazingaombwe wenye elimu ya "nature" huweza kufanya hayo....kwa hiyo hii si hoja ya UNABII WA MWENYEZI MUNGU....Biblia ni stories za wahenga wa kwao, tuna wahenga wetu.
Yesu alitembea juu ya maji, ng'wanamalundi vilevile
Jesus died and was raised up.It's true because no one has ever die and come back to earth to tell us, what happens after death.
wewe ungekuwa umesoma usingekuwa na akili kama za mbuziAliishi miaka 212 BC
Ugunduzi:
Kwenye hesabu ni uchafu.
- Archimedes' principle
Archimedes' screw
Center of gravity
Statics
Hydrostatics
Law of the lever
Indivisibles
Neuseis constructions[2]
Samahani, Wewe umesoma kweli na hukuskia hata Archmedes principle!?
quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewaMbona vitabu vyenyewe vina mkanganyiko (Contradiction) mkubwa na vina tofautiana maelezo kuhusu kuumbwa kwa binadamu.
Ni Mungu gani huyo mwenye kutoa vitabu vinavyo pingana maelezo vyenyewe kwa vyenyewe?
Huwezi kujenga hoja, Una tetea Quran kwa vile ni kitabu cha dini yako uliyo zaliwa nayo na kuaminishwa hivyo.quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewa
Wewe hujasoma na huo ndio ukweli, matusi yako yanakudhoofisha mwenyewe.wewe ungekuwa umesoma usingekuwa na akili kama za mbuzi
Kila kitabu kimechezewa, na hadithi ambazo zimo mule ndani waandishi walikuwa wanawachezea watu kama wewe.quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewa
Can you prove that Jesus resurrected?Jesus died and was raised up.
why don't you ask Preasts?
They know what is there
Umewahi sikia injili za akina Yuda?Jesus died and was raised up.
why don't you ask Preasts?
They know what is there
soma 30:20 quranKila kitabu kimechezewa, na hadithi ambazo zimo mule ndani waandishi walikuwa wanawachezea watu kama wewe.
Watunzi wa fasihi zile wamewachezea watu kwa kuwatungia hadithi zenye mhusika mkuu aitwaye Mungu.
Sasa kuna baadhi ya watu kama wewe hapo hawaelewi kuwa ni hadithi tu, na bahati mbaya hauwezi kutofautisha uhalisia na imani.
Mola mlezi ambaye ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hata hana uwezekano wa kuwepo. Ni hadithi tu za watu waliamua kujitungia.
huyo archimedes unayemsema amefundisha nini kuhusu mwanzo wa dunia na binadamu?Wewe hujasoma na huo ndio ukweli, matusi yako yanakudhoofisha mwenyewe.
Haufahamu hata Archmedes principle!?
Unachokijua wewe ni jua kuzama kwenye matope, mwezi kukatwa vipande na kuanguka nyuma ya mlima, na mwalimu wako huyo asiyejua kusoma na kuandika,
Yaan kwa kizungu ni illiterate person.
Wewe ndio msomi!wewe ungekuwa umesoma usingekuwa na akili kama za mbuzi