Logically and practically haiwezekani ila kwa hisia zinaishi rohoni. So kihisia inaweza kuwa sawa.
Ukikubali hilo, hizo habari za hisia, unavunja logic, na hata dhana ya kuwepo Mungu huwezi kuijenga bila kutumia logic .
Yani hilo wazo tu kwamba Mungu yupo ni logic tayari.
"God exists" is a logical proposition. So, you cannot make a logical proposition and claim to operate outside of logic.
If you want to operate outside of logic, you will not even be able to say "God exists".
Ukikubali logic, Mungu hayupo, kwa sababu logically dhana ya kuwepo Mungu ina contradictions zinazoonesha Mungu hayupo.
Ukikataa logic, na kusema hizo habari za hisia, pia unakataa uwepo wa Mungu.
Kwa sababu dhana ya kuwepo kwa Mungu tu, hususan muumba wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, tayari ni logic.
Hapo tunaona Mungu hayupo.
Ukikubali logic, Mungu hayupo.
Ukikataa logic, Mungu hayupo.
Kwa hivyo, usifikiri kwamba kukataa logic ndiyo kunakupa nafasi ya kumpenyeza Mungu kirahisi.
Hata ukikataa logic, bado Mungu hayupo.