Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Unaongelea kuamini.

Nikikuambia kwamba kuna binti mchanga wa miezi 6 leo, na kuna mwanamme mwenye miaka 30 leo, halafu amini huyo binti mchanga mwenye miezi 6 leo ni mama mzazi wa kibaiolojia wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, utakubali hilo jambo na kuamini?
Logically and practically haiwezekani ila kwa hisia zinaishi rohoni. So kihisia inaweza kuwa sawa.
 
Logically and practically haiwezekani ila kwa hisia zinaishi rohoni. So kihisia inaweza kuwa sawa.
Ukikubali hilo, hizo habari za hisia, unavunja logic, na hata dhana ya kuwepo Mungu huwezi kuijenga bila kutumia logic .

Yani hilo wazo tu kwamba Mungu yupo ni logic tayari.

"God exists" is a logical proposition. So, you cannot make a logical proposition and claim to operate outside of logic.

If you want to operate outside of logic, you will not even be able to say "God exists".

Ukikubali logic, Mungu hayupo, kwa sababu logically dhana ya kuwepo Mungu ina contradictions zinazoonesha Mungu hayupo.

Ukikataa logic, na kusema hizo habari za hisia, pia unakataa uwepo wa Mungu.

Kwa sababu dhana ya kuwepo kwa Mungu tu, hususan muumba wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote, tayari ni logic.

Hapo tunaona Mungu hayupo.

Ukikubali logic, Mungu hayupo.

Ukikataa logic, Mungu hayupo.

Kwa hivyo, usifikiri kwamba kukataa logic ndiyo kunakupa nafasi ya kumpenyeza Mungu kirahisi.

Hata ukikataa logic, bado Mungu hayupo.
 
Mungu ametoa vitabu vyake kuwa kamuumba binadamu kama yupo aliyemuumba mungu na yeye atoe vitabu vyake aseme alivyomtengeneza mungu
Mbona vitabu vyenyewe vina mkanganyiko (Contradiction) mkubwa na vina tofautiana maelezo kuhusu kuumbwa kwa binadamu.

Ni Mungu gani huyo mwenye kutoa vitabu vinavyo pingana maelezo vyenyewe kwa vyenyewe?
 
Hapa kunakitu umeongea kinaonesha jinsi gani hauna uelewa na sayansi ya anga.

Kwamba hii existence inategemea jua!?

Utazalisha maswali mengi ambayo utashindwa kuyajibu.

Hiki kijua si kitu cha ajabu wala upekee kama ynavyodhani.

Kwanini unaongelea kijinyota tu kiitwacho Sun peke yake wakati kuna mabilion ya nyota!?

Au hujui kuwa hizo nyota uzionazo hapo kwenye anga ni kama hili jua letu tu!?

Unadhan kuwa nyota ya Sun pekee ndiyo ilianza kuwepo?
Siongelei universe yote....

Naongelea JUA linalohusu ulimwengu wetu na sayari zinazolizunguka.....open u'r mind!!
 
Jipe moyo dunia itakuwepo mabilion na mabilion ya miaka haina mwisho hii, ukifa ndio nitoleeni, endeleeni na hizo hadithi zenu.
Uhakika wa kuwepo hayo mabilioni ya miaka ni facts?!!!

Give us u'r facts....
 
Biblia ni stories za wahenga wa kwao, tuna wahenga wetu.

Yesu alitembea juu ya maji, ng'wanamalundi vilevile
Utukufu wa Yesu haupatikani katika kutembea juu ya maji....kwani hata wanamazingaombwe wenye elimu ya "nature" huweza kufanya hayo....kwa hiyo hii si hoja ya UNABII WA MWENYEZI MUNGU....
 
I dont know English. But whatever he said is all true. Am with him.
 
Mbona vitabu vyenyewe vina mkanganyiko (Contradiction) mkubwa na vina tofautiana maelezo kuhusu kuumbwa kwa binadamu.

Ni Mungu gani huyo mwenye kutoa vitabu vinavyo pingana maelezo vyenyewe kwa vyenyewe?
quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewa
 
quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewa
Huwezi kujenga hoja, Una tetea Quran kwa vile ni kitabu cha dini yako uliyo zaliwa nayo na kuaminishwa hivyo.

Vivyo hivyo, Ungezaliwa kwenye Ukristo unge tetea Biblia kitabu cha dini yako na kuikosoa Quran.

Mpaka kufikia hapa unaona kwamba, Vitabu vyote vya kidini (Quran &Biblia) ni maandiko ya kibinadamu ya wajanja wachache walio buni dini na maandiko ya kuwa pumbaza watu.

Mungu hayupo.
 
wewe ungekuwa umesoma usingekuwa na akili kama za mbuzi
Wewe hujasoma na huo ndio ukweli, matusi yako yanakudhoofisha mwenyewe.

Haufahamu hata Archmedes principle!?

Unachokijua wewe ni jua kuzama kwenye matope, mwezi kukatwa vipande na kuanguka nyuma ya mlima, na mwalimu wako huyo asiyejua kusoma na kuandika,
Yaan kwa kizungu ni illiterate person.
 
quran mimi ndo naiamini.hvyo injili,zaburi na taurat vimeshachezewa
Kila kitabu kimechezewa, na hadithi ambazo zimo mule ndani waandishi walikuwa wanawachezea watu kama wewe.

Watunzi wa fasihi zile wamewachezea watu kwa kuwatungia hadithi zenye mhusika mkuu aitwaye Mungu.

Sasa kuna baadhi ya watu kama wewe hapo hawaelewi kuwa ni hadithi tu, na bahati mbaya hauwezi kutofautisha uhalisia na imani.

Mola mlezi ambaye ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hata hana uwezekano wa kuwepo. Ni hadithi tu za watu waliamua kujitungia.
 
Jesus died and was raised up.
why don't you ask Preasts?
They know what is there
Umewahi sikia injili za akina Yuda?
Umewahi sikia injili za akina Barnaba!?
Umewahi skia Injili ya Mary!?
Umewahi kujua kulikuwa na hadithi ngapi za injili zilizoandikwa na waandishi tofauti na zinamaudhui yapi!?

Unafaham hadithi za akina Mathayo zilizomo humo kwenye biblia zilipitishwa na nani ili zikae kwenye biblia!?
Ushawahi kujiuliza kwanini zile nyingine ziliachwa.!?

Kama bado hujafuatilia hili, fuatilia then ureason kwa kujiuliza habari za yesu ni hadithi real ama ni alfu lela ulela tu.

Ila kama unashikilia msimamo wako, thibitisha uhalali wa hadithi ya Yesu kufufuka.
 
Kila kitabu kimechezewa, na hadithi ambazo zimo mule ndani waandishi walikuwa wanawachezea watu kama wewe.

Watunzi wa fasihi zile wamewachezea watu kwa kuwatungia hadithi zenye mhusika mkuu aitwaye Mungu.

Sasa kuna baadhi ya watu kama wewe hapo hawaelewi kuwa ni hadithi tu, na bahati mbaya hauwezi kutofautisha uhalisia na imani.

Mola mlezi ambaye ni muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo, wala hata hana uwezekano wa kuwepo. Ni hadithi tu za watu waliamua kujitungia.
soma 30:20 quran
 
Wewe hujasoma na huo ndio ukweli, matusi yako yanakudhoofisha mwenyewe.

Haufahamu hata Archmedes principle!?

Unachokijua wewe ni jua kuzama kwenye matope, mwezi kukatwa vipande na kuanguka nyuma ya mlima, na mwalimu wako huyo asiyejua kusoma na kuandika,
Yaan kwa kizungu ni illiterate person.
huyo archimedes unayemsema amefundisha nini kuhusu mwanzo wa dunia na binadamu?
 
Back
Top Bottom