mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
safi swali zuri.binadamu hana pembe,binadamu hana miguu 4,binadamu hana kwato,binadamu hana mkia.sasa utasemaje binadamu ni mnyama?Kuamini uhitaji ushahidi ili uamini.
Nipe sifa Tano kwa nini binadamu sio mnyama?
Swali langu lilihoji:unajua fika kuwa binadamu ametokana na manii ya mwanaume.pamoja na yai la mwanamke.ili mwanaume azalishe mbegu anatakiwa ale chakula ambacho kinatoka udongoni.
je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?Kifo hakijaumbwa
Kifo ni mwisho wa seli hai kuzidiwa na seli zilizokufa.
Ni mwisho wa seli hai au kiumbe ikiwa ni multicellular.
Kumbuka seli zako za ngozi kila dakika zinakufa na kuwa replaced, je wewe umekufa?
Ajali hutokana na Uzembe na Makosa ya kibinadamu wala Ajali hazina uhusiano na Mungu.je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?
jibu swali.na wao wanakufa sababu ya seli kufa?kumbuka wao walikuwa wazima wa afyaAjali hutokana na Uzembe na Makosa ya kibinadamu wala Ajali hazina uhusiano na Mungu.
Mwendokasi, ulevi wa dereva, kutozingatia sheria za barabarani, ubovu wa gari, ubovu wa barabara. Haya yote ni makosa ya kibinadamu ambayo hupelekea Ajali.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
quran 3:185.inasema kila nafsi itaonja umauji.wewe unabisha.unaweza kuzuia kifo?Ajali hutokana na Uzembe na Makosa ya kibinadamu wala Ajali hazina uhusiano na Mungu.
Mwendokasi, ulevi wa dereva, kutozingatia sheria za barabarani, ubovu wa gari, ubovu wa barabara. Haya yote ni makosa ya kibinadamu ambayo hupelekea Ajali.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nimeamini kweli wewe ni mjinga [emoji23][emoji23][emoji23]safi swali zuri.binadamu hana pembe,binadamu hana miguu 4,binadamu hana kwato,binadamu hana mkia.sasa utasemaje binadamu ni mnyama?
Kinachofanya wafe ni nini?je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?
inayokufa ni roho.Kinachofanya wafe ni nini?
Mathalani kuvuja kwa damu, kuharibika kwa organ au ubongo Kukosa hewa.
Sasa hapa ili afe si seli hai nyingi itabidi zife.
Mzee unafeli wapi?
Mkuu, hawa Wakuu wa Dini ndio wanao wachanganya watu kwa maana waumini wao, wote wanasema Mungu yupo na ni mmoja tu. Lakini tatizo linakuja/linajitokeza pale kila mmoja anapo sema Mungu wake ni tofauti na wa wenzake na ukiwafuatilia unaona kweli hawafanani kutokana na maelekezo ya Mungu wao. Lakini haitachukua muda mrefu haya ya akina Arold yatajidhihirisha kwamba ni kweli au sio kweli.Ila hoja za spiritual ni ngumu Sana.
Ukiwaweka wanaoamini Mungu yupo na wasioamini Mungu yupo watabishana Sana,pia ukiwaweka wale wanaamini Mungu yupo pamoja (labda Muslim na Mkristo) Bado watabishana tu Mungu wa Nani ni sahihi.
Unaelewa kuwa mtu naye ni mnyama?ulishawah kumuona mnyama kavaa suti?
Swali la msingi ni wewe unakunya au hunyihauoni kama sokwe.mbuzi,ng'ombe,kondoo wanafanana kukaa kwenye kundi la wanyama kuliko binadamu.?wewe unaweza kujisaidia mbele za watu!?
Mkuu, mabikira 72 ni offer mzuri sana, lakini hakuna anaye ipapatikia! OFFER hii! hofu ni nini?Nyie ndiyo mnaishi kwa hofu ya kumuogopa Mungu mnavizia awape mabikira 72, kweli ujinga ni mzigo.
Jibu post yangu ya 300hauoni kama sokwe.mbuzi,ng'ombe,kondoo wanafanana kukaa kwenye kundi la wanyama kuliko binadamu.?wewe unaweza kujisaidia mbele za watu!?
Mungu mmoja, muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na muumba yote anaruhusu vipi story yake ichakachuliwe na watu wake wapotoshwe?Mkuu, hawa Wakuu wa Dini ndio wanao wachanganya watu kwa maana waumini wao, wote wanasema Mungu yupo na ni mmoja tu. Lakini tatizo linakuja/linajitokeza pale kila mmoja anapo sema Mungu wake ni tofauti na wa wenzake na ukiwafuatilia unaona kweli hawafanani kutokana na maelekezo ya Mungu wao. Lakini haitachukua muda mrefu haya ya akina Arold yatajidhihirisha kwamba ni kweli au sio kweli.
Mkuu, roho ina kufa kivipi? au ulikuwa na maana moyo?inayokufa ni roho.
Kama Roho inakufa mbinguni unakwenda na nini?inayokufa ni roho.
sijazungumzia mtoto wa miaka 4.nimekuuliza wewe mnyamaSwali la msingi ni wewe unakunya au hunyi
Unapofanya excretion kwa kutumia anus na sokwe anafanya hivyo hivyo achilia mbali Simba au Mbuzi na wenyewe ni hivyo hivyo.
Unatoka jasho nayo ni excretion kwa kutumia Ngozi au mkojo, je wanyama hawafanyi?
Kama hauna manyoya hata Tembo hana, siku hizi hadi Nguruwe.
N.B Mtoto wa miaka minne anaweza kujisaidia kokote tu hata mbele ya halaiki achilia watu wachache.View attachment 2690984
Biology unaiamini ila mungu akikwambia kaumba binadamu unakataa.Unaelewa kuwa mtu naye ni mnyama?
Kibaiolojia yupo katika Animal Kingdom.
Ufalme wa Mnyama.
Unaelewa hilo?