Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die

Kuamini uhitaji ushahidi ili uamini.
Nipe sifa Tano kwa nini binadamu sio mnyama?
safi swali zuri.binadamu hana pembe,binadamu hana miguu 4,binadamu hana kwato,binadamu hana mkia.sasa utasemaje binadamu ni mnyama?
 
unajua fika kuwa binadamu ametokana na manii ya mwanaume.pamoja na yai la mwanamke.ili mwanaume azalishe mbegu anatakiwa ale chakula ambacho kinatoka udongoni.
Swali langu lilihoji:
Nini uhusiano wa chakula na udongo?
Nini uhusiano wa chakula na jua?

Ili utoe maana unahitaji nguvu hii nguvu inatoka kwenye nini?
 
Kifo hakijaumbwa
Kifo ni mwisho wa seli hai kuzidiwa na seli zilizokufa.
Ni mwisho wa seli hai au kiumbe ikiwa ni multicellular.
Kumbuka seli zako za ngozi kila dakika zinakufa na kuwa replaced, je wewe umekufa?
je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?
 
je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?
Ajali hutokana na Uzembe na Makosa ya kibinadamu wala Ajali hazina uhusiano na Mungu.

Mwendokasi, ulevi wa dereva, kutozingatia sheria za barabarani, ubovu wa gari, ubovu wa barabara. Haya yote ni makosa ya kibinadamu ambayo hupelekea Ajali.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
jibu swali.na wao wanakufa sababu ya seli kufa?kumbuka wao walikuwa wazima wa afya
 
Ajali hutokana na Uzembe na Makosa ya kibinadamu wala Ajali hazina uhusiano na Mungu.

Mwendokasi, ulevi wa dereva, kutozingatia sheria za barabarani, ubovu wa gari, ubovu wa barabara. Haya yote ni makosa ya kibinadamu ambayo hupelekea Ajali.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
quran 3:185.inasema kila nafsi itaonja umauji.wewe unabisha.unaweza kuzuia kifo?
 
safi swali zuri.binadamu hana pembe,binadamu hana miguu 4,binadamu hana kwato,binadamu hana mkia.sasa utasemaje binadamu ni mnyama?
Nimeamini kweli wewe ni mjinga [emoji23][emoji23][emoji23]
1)Binadamu hana pembe
Vipi Nyani Wana pembe?
Vipi Kiboko ana pembe?
Vipi Nyangumi ana pembe?

2)Binadamu hana kwato
Vipi sokwe Wana kwato?
Vipi popo Wana kwato?

3)Binadamu hana mkia
Sokwe naye Hana.
Bonobo hana
Ulitaka kusemaje, nao ni binadamu?

4)Binadamu hana miguu 4
Nani aliyesema hiyo mikono yako ni nini?

Hujui sifa za mnyama ni Zipi na binadamu ni Zipi?
Hii ilimu ya madrasa imekufanya umekuwa mjinga kweli kweli

Sifa za wanyama:
1)Kunyonyesha au kuwa na matiti
Je, Mbuzi hanyonyeshi?
Kondoo je, vipi kuhusu Sokwe na Nyani?

2)Kuzaa watoto wakiwa complete
Vipi mtoto wa Simba au fisi, je binadamu anataga?

Hizi ndio baadhi ya sifa hivyo nikuulize wewe binadamu ni mnyama au la!

N.b Binadamu mkia alikuwa nao kama baadhi ya other primates ila Kuna kanuni ya use and misuse ndio ukapotea ila vile vifupa vya covyx vipo mpaka leo.

Ni sawasawa na appendix kwa binadamu Haina kazi kwa Sasa ila kwa kina Mbuzi ni muhimu.

Mzee utaijua kwa nini Evolution and adaptation imeelezea kwa ukubwa zaidi mambo hayo.
 
je wale wanaokufa kwenye ajali nao utasema seli zao zimekufa?
Kinachofanya wafe ni nini?
Mathalani kuvuja kwa damu, kuharibika kwa organ au ubongo Kukosa hewa.

Sasa hapa ili afe si seli hai nyingi itabidi zife.

Mzee unafeli wapi?
 
hauoni kama sokwe.mbuzi,ng'ombe,kondoo wanafanana kukaa kwenye kundi la wanyama kuliko binadamu.?wewe unaweza kujisaidia mbele za watu!?
 
Ila hoja za spiritual ni ngumu Sana.

Ukiwaweka wanaoamini Mungu yupo na wasioamini Mungu yupo watabishana Sana,pia ukiwaweka wale wanaamini Mungu yupo pamoja (labda Muslim na Mkristo) Bado watabishana tu Mungu wa Nani ni sahihi.
Mkuu, hawa Wakuu wa Dini ndio wanao wachanganya watu kwa maana waumini wao, wote wanasema Mungu yupo na ni mmoja tu. Lakini tatizo linakuja/linajitokeza pale kila mmoja anapo sema Mungu wake ni tofauti na wa wenzake na ukiwafuatilia unaona kweli hawafanani kutokana na maelekezo ya Mungu wao. Lakini haitachukua muda mrefu haya ya akina Arold yatajidhihirisha kwamba ni kweli au sio kweli.
 
hauoni kama sokwe.mbuzi,ng'ombe,kondoo wanafanana kukaa kwenye kundi la wanyama kuliko binadamu.?wewe unaweza kujisaidia mbele za watu!?
Swali la msingi ni wewe unakunya au hunyi
Unapofanya excretion kwa kutumia anus na sokwe anafanya hivyo hivyo achilia mbali Simba au Mbuzi na wenyewe ni hivyo hivyo.

Unatoka jasho nayo ni excretion kwa kutumia Ngozi au mkojo, je wanyama hawafanyi?

Kama hauna manyoya hata Tembo hana, siku hizi hadi Nguruwe.

N.B Mtoto wa miaka minne anaweza kujisaidia kokote tu hata mbele ya halaiki achilia watu wachache.
JamiiForums1459446946.jpg
 
Nyie ndiyo mnaishi kwa hofu ya kumuogopa Mungu mnavizia awape mabikira 72, kweli ujinga ni mzigo.
Mkuu, mabikira 72 ni offer mzuri sana, lakini hakuna anaye ipapatikia! OFFER hii! hofu ni nini?
 
hauoni kama sokwe.mbuzi,ng'ombe,kondoo wanafanana kukaa kwenye kundi la wanyama kuliko binadamu.?wewe unaweza kujisaidia mbele za watu!?
Jibu post yangu ya 300

Sasa mjinga mimi tuhamie kwenye phase ngumu zaidi ya maswali maana haya ya Sasa hata mtoto mdogo anajibu.

Kwa kutumia kitabu Cha dini
Kwa nini viumbe hivi viliumbwa, hivi viltamkwa vikatokea?
Kwani vina tofauti gani at molecular level?

Kwa nini maisha yote asilimia 98 ni Carbon based na sio Silicon based?

Udongo umeundwa na nini?
Kwa nini Sapiens ambaye kaundwa kwa udongo asiwe Silicon based life ila amekuwa Carbon based?

Nini umuhimu wa jua kwenye maisha?
Unapokula chakula pale unavunja vunja nini na kiwe nini?
 
Mkuu, hawa Wakuu wa Dini ndio wanao wachanganya watu kwa maana waumini wao, wote wanasema Mungu yupo na ni mmoja tu. Lakini tatizo linakuja/linajitokeza pale kila mmoja anapo sema Mungu wake ni tofauti na wa wenzake na ukiwafuatilia unaona kweli hawafanani kutokana na maelekezo ya Mungu wao. Lakini haitachukua muda mrefu haya ya akina Arold yatajidhihirisha kwamba ni kweli au sio kweli.
Mungu mmoja, muweza yote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na muumba yote anaruhusu vipi story yake ichakachuliwe na watu wake wapotoshwe?

Huoni kwamba story yake ikiweza kuchakachuliwa yeye ana makosa kwa kuruhusu hilo?

Huoni kwamba Mungu kuwa na makosa ni contradiction?

Huoni kwamba contradiction hii inaonesha Mungu huyu hayupo?
 
Swali la msingi ni wewe unakunya au hunyi
Unapofanya excretion kwa kutumia anus na sokwe anafanya hivyo hivyo achilia mbali Simba au Mbuzi na wenyewe ni hivyo hivyo.

Unatoka jasho nayo ni excretion kwa kutumia Ngozi au mkojo, je wanyama hawafanyi?

Kama hauna manyoya hata Tembo hana, siku hizi hadi Nguruwe.

N.B Mtoto wa miaka minne anaweza kujisaidia kokote tu hata mbele ya halaiki achilia watu wachache.View attachment 2690984
sijazungumzia mtoto wa miaka 4.nimekuuliza wewe mnyama
 
Back
Top Bottom