Arnold Schwarzenegger: Heaven is 'Fantasy' and 'Nothing' happens when we die


Na atuambie what did God do before he created the universe?
 
Huyo kiranga anajitoaga fahamu tu, wameleta mafundisho potofu kwamba binadamu katokana na nyani ambayo hadi leo watoto wanafundishwa mashuleni ili kuua ukweli wa uumbaji wa Mungu Mkuu.
Hakuna nliposema binadamu katokana na nyani, na wewe hujathibitisha Mungu yupo.

Facts.
 
Ili uitatue lazima uamini kwanza bila hivyo utambuzi wake ni kama useme niambie ukiwa theatre kule ndani ya mwili unakuta moyo kweli ama ni fix? Kama hujaamni biology ungewezaje kuufungua mwili wa mwanadamu na kuurudisha pasipo kusababisha mauti? Kama tu katika physical wotld ni lazima ujue principles za kuufungua mwili, iweje kwa vitu vya roho? Je havina kanuni?

Ni uwendawazimu kutafuta uelewa mambo ya kiroho kwakutimia akili, mambo ya akili hueleweka kiakili bilebile mambo ya kiroho hueleweka kiroho, otherwise unataka kufanya hesabu za vigawovya kujumlisha huku denominator zikiwa zimetofautiana
 
The main reason for the survival of religion is not a desire to live a better life, but our fear of death.
Yes indeed because it is death that is our biggest enemy. The bible declares that the last enemy to be destroyed is death, so whats a problem?
 
Unaongelea kuamini.

Nikikuambia kwamba kuna binti mchanga wa miezi 6 leo, na kuna mwanamme mwenye miaka 30 leo, halafu amini huyo binti mchanga mwenye miezi 6 leo ni mama mzazi wa kibaiolojia wa huyo mwanamme mwenye miaka 30 leo, utakubali hilo jambo na kuamini?
 
Acha kutetea ujinga wa mjinga mwenzako
Wewe kutofahamu, kutokujua na kuto elewa dhana ya Mungu kutokuwepo si sababu ya kuita ni Ujinga.

Kama huwezi kuelewa na kujenga hoja kwa vile huelewi dhana fulani si hitimisho la kwamba dhana hiyo ni Ujinga.

Ni ukosefu wako wa maarifa na taarifa kuhusu dhana hiyo.
 
Yes indeed because it is death that is our biggest enemy. The bible declares that the last enemy to be destroyed is death, so whats a problem?
To be destroyed how? Did you get my point? Are we agree now the survival of religion is only just a fear of death?
 
"We don’t know what happens with the soul and all this spiritual stuff that I’m not an expert in"


Keshasema siyo expert wa mambo ya kiroho hivyo hana uhalali wa kuhitimisha.

Wote tupo kwenye chungu ambacho hatujui nje kuna nini. Kila mtu anaweza kuwa sahihi au asiwe sahihi. Ni suala la kuchagua.

KWA WOTE TULIOAMUA KUAMINI MUNGU YUPO NA KUNA MBINGU, TUPO SAHIHI MPAKA PALE TUTAKAPOKUWA HATUPO SAHIHI. HAWA WASIO TAKA KUAMINI HIVYO WANA SABABU ZAO ZISIZO NA MAANA KWETU KWA SASA.
 
Kwasababu huyo muumba ni kitu cha kutungwa na binadamu
Kama mimba yako ilitungwa na binadamu na unataka uheshimiwe basi ni sahihi kuheshimu mambo mengine hata kama unafikiri yametokana na binadamu.
 
Huu msemo wa vunja mifupa ingali meno ipo sio wa kupuuza, hakuna mwisho wa dunia, ukifa ndio imeisha hiyo.
 
Huu msemo wa vunja mifupa ingali meno ipo sio wa kupuuza, hakuna mwisho wa dunia, ukifa ndio imeisha hiyo.
Fikiria kidogo tu kma duniani kuna mahkama za kuwahukumu walokosea kwanini ukifa iwe ndo imeisha yni umkosee Muumba au ufanye Mema halafu Muumba asikulipe kweli!

Dah ni fikra ndogo tu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…