Huko kwenye bikra ya pili ulikua unatafuta nini mkuu 😅😅Hakika, turudi tulikotoka. Hali ni mbaya sana. Wachumba hawana bikra zote, tutaenda kuoa nyani sasa
Ninavyoonekana kuwa binti mwenye adabu asie na mambo ya ajabu hakika maombi yangekuwa mengi 😅😅😅Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.
Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa...
Ukaguzi tu kama CAGHuko kwenye bikra ya pili ulikua unatafuta nini mkuu 😅😅
...yaaa hili linaweza punguza matatizo mengi ktk ndoa za Sasa, lakini ni pale ambapo tutaondoa ile kasumba ya 'mimi siwezi kumpenda mtu ambae sijamuona au mtu nileletewa', saingine tuwe tayari kujifunza kupenda taratibu na ndivyo ilivyokuwa awali.Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke.
Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa...
Yani mamdogo, kuna mtu anatafuta mume, ila kijana wako hata uniambii? 😅😅😅Wacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...😅 (bado nakudai mabungo).
Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.
Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)
Roger Sterling natumai viinglish vitaendana
Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)
Mrembo, kila la kheri.....😍
Wakataa ndoa wapite kushoto.
😅😅😅😅Huko kwenye bikra ya pili ulikua unatafuta nini mkuu 😅😅
😅😅😅😅😅dahUkaguzi tu kama CAG
Mambo si ndo hayo sasa ngoja nianze kuwapitia mmojammojaWacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...😅 (bado nakudai mabungo).
Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.
Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)
Roger Sterling natumai viinglish vitaendana
Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)
Mrembo, kila la kheri.....😍
Wakataa ndoa wapite kushoto.
Nafikiria tu hapa imetokea mara paap.. familia imenitafutia mume wa kunioa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabla ya kuiga wahindi na waarabu kwenye ndoa ..kwanini tusiwaige kwenye mambo mengine pia?
Wahindi na waarabu hawaruhusu pia mabinti zao 'kujitafutia maisha'..
Binti hata asipoolewa na Hana kazi atalelewa na familia...
Sisi binti anatoka Bukoba kuna dar chuo anaanza kuombwa hela awatumie ndugu zake na harudi tena akimaliza chuo anapanga chumba hata kama kazi Hana.....