Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu binti yangu ngoja nifanye vettingππππhaya babu angalia kijana wako anaenifaa
Sawa babuUsihofu binti yangu ngoja nifanye vetting
Wacha nikuitie wachumba, ushindwe wewe tu...
RRONDO aka Baba Bataringaya...π (bado nakudai mabungo).
Mentor huyu japo sijamsoma kitambo, ila ni husband material.
Watu8 (usininunie tafadhali, namsaidia binti kupata mume)
Roger Sterling natumai viinglish vitaendana
Daby (baba yeyoooo, takwenyaa)
Mrembo, kila la kheri.....π
Wakataa ndoa wapite kushoto.
Huwa wanaoana sana ndugu kwa ndugu vip hii unaisapoti?
Labda wao mabinti wawehajafika vyuo maana yanayoendelea huko vyuoni kwa mabinti wengi ni hatari lakini ukiwakuta nyumbani kwao wanavyo behave kitakatifu sasa unaweza sema mke ndio huyu sasa
Kasindeeeeee βΊοΈππ
Mimi ni mzee kijana, nishafika umri wa kugombea Urais wa nchi na kukaa vikao vya UN....
Mabinti wadogo watanifurugaaaa tu
Yani mamdogo, kuna mtu anatafuta mume, ila kijana wako hata uniambii? π π π
[emoji23][emoji23]Hakika, turudi tulikotoka. Hali ni mbaya sana. Wachumba hawana bikra zote, tutaenda kuoa nyani sasa
Kasie, long time. Ulijificha au kufichwa?
Mrembo anasound timamu kabisa. Ngoja tuone nani atabahatika.
Tabaka la matajiri bado wana huo utamaduni
Kwa hiyo familia duni zioane zenyewe TU? Je ni familia ngapi zinautajiri? Wahindi waarabu ni wachache na hawana machao kutokana ubaguzi walio nao.Kinachomaliza ndoa Leo ni matamanio tu na ubize tulionao kiasi cha kumwona mwenzako kelo.Enzi hizo mume Yuko mjini mama Yuko Kijijini wanaonana mara chache,pia jamii zilisaidiana kuchunguza ujanja ujanja lakini Leo umeachiwa uhuru wako mwenyewe hivyo stress daily.Elimu ni nzuri lakini tumeacha elimu ya jamii na dini hivyo hatuna hofu Tena na Mungu.
Long time kweli aisee.....ππ
Well nakuwepo hapa na pale ila si kama kipindi kile unaniongelesha kiinglish kile chenyewe...πππ
Uzee nao unachangia, huku naingia kubariki na kutoka πππ
Usiniambie nikutafsirie kubariki maana yake nini...ππ
Hadi uniongeleshe kiinglish chako aahahah
Kwanza nimekumbuka kitu, please send my warm and lovely regards to Silas/Silla please...ππ
I missed him alot...πππ.
Hahaha same old, Kasie. Never change, mama. Salamu zako zimefika kama ulivyokusudia. Don't be a stranger.
I thought lens glasses were your thing?I won't be....
Another thing aahahahhaha.....
Where are your lens glasses...ππππ
Serg.......