Ndio nimesema na ninasema tena kuwa Arsenal amechukua EPL Cup Mara tatu tu yaani 1998, 2002 na 2004 kama amechukua zaidi ya hapo sema ni Mwaka ganiNasema ogopa sana mtu mjinga alafu awe na confidence
Nilifanya ku qoute uzi wako uliosema kwamwe spurs hajawahi kuchukua ubingwa ili usije kuedit [emoji16]
Na ukasema arsenal amewahi kubeba ubingwa mara tatu tu[emoji16]
Ndugu km kitu hujui unakuwa mpole uombe uelekezwe
Na sio kosa kutokuja kitu hakuna atakayekucheka itakusaidia kupunguza ujinga
HUJUI LOLOTEWewe ndio unajua kamwe spurs hajawahi kubeba ubingwa [emoji16]
Au arsenal kabeba mara tatu tu[emoji16]
Sawa mshabiki wa timu kubwa Nottingham,lakini kwa nini useme city utaitoa kwenye timu kubwa wakati timu kubwa ni mpaka ishinde UEFA champions league!?Ndio timu zote zilizobeba Uefa champions Ligue ni timu kubwa ikiwemo Porto na N.forest
Arsenal inakosa hizo sifa
Mfano manchester city yupo kwenye peak ya juu sasa ikiwemo uwekezeji mkubwa
Ikitokea ikaanguka kiuchumi bila kuchukua uefa kipindi hiki miaka ishirini ijayo tutaiweka kundi moja na Arsenal tu
Ndio nimesema na ninasema tena kuwa Arsenal amechukua EPL Cup Mara tatu tu yaani 1998, 2002 na 2004 kama amechukua zaidi ya hapo sema ni Mwaka gani
Mimi naenda na ushahidi sio wewe unakurupuka tu vitu huvijui
HUJUI LOLOTE
Kama Tottenham ameshachukua EPL sema ni mwaka gani?
Usiwe Mmbea mmbea kitu hukijui
Sawa mshabiki wa timu kubwa Nottingham,lakini kwa nini useme city utaitoa kwenye timu kubwa wakati timu kubwa ni mpaka ishinde UEFA champions league!?
Wewe Binti wa kizaramo acha kujaza uongo hapa jamviniOgopa sana mjinga alafu awe na confidence [emoji16]
Aibu najionea mimi
Nyie ndio mnadhani Arsenal ilianzishwa baada ya wenger kwenda uingereza
Tutajie huo mwaka ambao Spurs walibeba kombe la EPLOgopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]
Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
Umeanza mipasho, weka hilo boko hapaOgopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]
Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
Usianze kubadilisha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ogopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]
Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
Tutajie huo mwaka ambao Spurs walibeba kombe la EPL
Tutajie hiyo miaka zaidi ya 10 ambayo Arsenal imechukua EPL cup
Ukishindwa basi wewe ni mmbea kama Wanawake wengine tu [emoji23]
Umeanza mipasho, weka hilo boko hapa
Nipo nasubiri
Taja hiyo miaka ambayo Arsenal alichukua kombe za ligi ya Uingereza zaidi ya mara kumiUnajua wewe ni kilaza! Ndio maana naenda na wewe hivi
Kwasababu ni mjinga then hutaki kuelekezwa
Arsenal amechukua ubingwa wa ligi ya uingereza zaidi ya mara kumi
Kuna mtu alisema Tanzania imebarikiwa wajinga wengi now naamini
Wewe huna mjadala wowote hapa zaidi ya UZUSHI na UONGOMm napenda mjadala na wajinga km wewe ili niwafungue ubongo
Usianze kubadilisha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu maswali niliyokuuliza, then utaweka hilo boko hapa
Wewe huna mjadala wowote hapa zaidi ya UZUSHI na UONGO
Weka miaka zaidi ya 10 ambao Arsenal alibeba kombe za EPL
Weka mwaka ambao Tottenham Hotspur alibeba kombe la league
Acha maneno mengi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mimi nawewe nani mjinga??Hakuna anayebadilisha ni woga wako tu
Klabu ziluzoshinda ubingwa mara nyingi zaidi ligi ya uingereza ni
Liverpool
Manchester united
Arsenal
Ogopa mjinga alafu awe na confidence
Usianze kupanic binti wa kizaramo, au unazidiwa hoja?Mbona unajichekesha km askari wa Zanzibar
Arsenal ameshinda ligi zaidi ya mara kumi
Hakuna uzushi wala uongo