Arsenal ina miaka saba haijacheza UEFA! Je, inafaa kuitwa timu kubwa?

Nasema ogopa sana mtu mjinga alafu awe na confidence

Nilifanya ku qoute uzi wako uliosema kwamwe spurs hajawahi kuchukua ubingwa ili usije kuedit [emoji16]

Na ukasema arsenal amewahi kubeba ubingwa mara tatu tu[emoji16]

Ndugu km kitu hujui unakuwa mpole uombe uelekezwe

Na sio kosa kutokuja kitu hakuna atakayekucheka itakusaidia kupunguza ujinga
Ndio nimesema na ninasema tena kuwa Arsenal amechukua EPL Cup Mara tatu tu yaani 1998, 2002 na 2004 kama amechukua zaidi ya hapo sema ni Mwaka gani

Mimi naenda na ushahidi sio wewe unakurupuka tu vitu huvijui
 
Wewe ndio unajua kamwe spurs hajawahi kubeba ubingwa [emoji16]

Au arsenal kabeba mara tatu tu[emoji16]
HUJUI LOLOTE

Kama Tottenham ameshachukua EPL sema ni mwaka gani?

Usiwe Mmbea mmbea kitu hukijui
 
Ndio timu zote zilizobeba Uefa champions Ligue ni timu kubwa ikiwemo Porto na N.forest

Arsenal inakosa hizo sifa

Mfano manchester city yupo kwenye peak ya juu sasa ikiwemo uwekezeji mkubwa

Ikitokea ikaanguka kiuchumi bila kuchukua uefa kipindi hiki miaka ishirini ijayo tutaiweka kundi moja na Arsenal tu
Sawa mshabiki wa timu kubwa Nottingham,lakini kwa nini useme city utaitoa kwenye timu kubwa wakati timu kubwa ni mpaka ishinde UEFA champions league!?
 
Ogopa sana mjinga alafu awe na confidence [emoji16]

Aibu najionea mimi

Nyie ndio mnadhani Arsenal ilianzishwa baada ya wenger kwenda uingereza
Ndio nimesema na ninasema tena kuwa Arsenal amechukua EPL Cup Mara tatu tu yaani 1998, 2002 na 2004 kama amechukua zaidi ya hapo sema ni Mwaka gani

Mimi naenda na ushahidi sio wewe unakurupuka tu vitu huvijui
 
Ogopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]

Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
HUJUI LOLOTE

Kama Tottenham ameshachukua EPL sema ni mwaka gani?

Usiwe Mmbea mmbea kitu hukijui
 
Manchester city yupo hatua chache kuchukua champion Ligue tofauti na Arsenal
Sawa mshabiki wa timu kubwa Nottingham,lakini kwa nini useme city utaitoa kwenye timu kubwa wakati timu kubwa ni mpaka ishinde UEFA champions league!?
 
Ogopa sana mjinga alafu awe na confidence [emoji16]

Aibu najionea mimi

Nyie ndio mnadhani Arsenal ilianzishwa baada ya wenger kwenda uingereza
Wewe Binti wa kizaramo acha kujaza uongo hapa jamvini

Nimekuuliza maswali hutaki kujibu kwasababu HUJUI

Umeandika mada iliyokuzidi uwezo

Achana na kufuatilia mpira. Kahangaike na mipasho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ogopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]

Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
Tutajie huo mwaka ambao Spurs walibeba kombe la EPL

Tutajie hiyo miaka zaidi ya 10 ambayo Arsenal imechukua EPL cup

Ukishindwa basi wewe ni mmbea kama Wanawake wengine tu [emoji23]
 
Umeanza mipasho, weka hilo boko hapa

Nipo nasubiri
 
Ogopa sana mjinga mwenye confidence [emoji16]

Itabidi nikufollow ndugu yangu kwasababu kuna boko ulitoa kombe la Dunia sijawahi kusahau [emoji16]
Usianze kubadilisha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu maswali niliyokuuliza, then utaweka hilo boko hapa
 
Unajua wewe ni kilaza! Ndio maana naenda na wewe hivi

Kwasababu ni mjinga then hutaki kuelekezwa

Arsenal amechukua ubingwa wa ligi ya uingereza zaidi ya mara kumi

Kuna mtu alisema Tanzania imebarikiwa wajinga wengi now naamini
Tutajie huo mwaka ambao Spurs walibeba kombe la EPL

Tutajie hiyo miaka zaidi ya 10 ambayo Arsenal imechukua EPL cup

Ukishindwa basi wewe ni mmbea kama Wanawake wengine tu [emoji23]
 
Unajua wewe ni kilaza! Ndio maana naenda na wewe hivi

Kwasababu ni mjinga then hutaki kuelekezwa

Arsenal amechukua ubingwa wa ligi ya uingereza zaidi ya mara kumi

Kuna mtu alisema Tanzania imebarikiwa wajinga wengi now naamini
Taja hiyo miaka ambayo Arsenal alichukua kombe za ligi ya Uingereza zaidi ya mara kumi

Put it to justify ua claim.... acha maneno mengi
 
Mm napenda mjadala na wajinga km wewe ili niwafungue ubongo
Wewe huna mjadala wowote hapa zaidi ya UZUSHI na UONGO

Weka miaka zaidi ya 10 ambao Arsenal alibeba kombe za EPL

Weka mwaka ambao Tottenham Hotspur alibeba kombe la league

Acha maneno mengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna anayebadilisha ni woga wako tu

Klabu ziluzoshinda ubingwa mara nyingi zaidi ligi ya uingereza ni

Liverpool

Manchester united

Arsenal

Ogopa mjinga alafu awe na confidence
Usianze kubadilisha mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jibu maswali niliyokuuliza, then utaweka hilo boko hapa
 
Mbona unajichekesha km askari wa Zanzibar

Arsenal ameshinda ligi zaidi ya mara kumi
Hakuna uzushi wala uongo
Wewe huna mjadala wowote hapa zaidi ya UZUSHI na UONGO

Weka miaka zaidi ya 10 ambao Arsenal alibeba kombe za EPL

Weka mwaka ambao Tottenham Hotspur alibeba kombe la league

Acha maneno mengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna anayebadilisha ni woga wako tu

Klabu ziluzoshinda ubingwa mara nyingi zaidi ligi ya uingereza ni

Liverpool

Manchester united

Arsenal

Ogopa mjinga alafu awe na confidence
Sasa mimi nawewe nani mjinga??

Unaulizwa swali hili unaleta majibu yale[emoji23][emoji23][emoji23]...Acha kuhamisha magoli

Nani amekuuliza habari za Liverpool & Man U?

QN 1) Nimekuambia unitajie hiyo miaka zaidi ya 10 ambayo Arsenal ilibeba EPL

QN 2) Nitajie huo mwaka ambao Tottenham alitwaa EPL cup kama ulivyosema

Huna majibu sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mbona unajichekesha km askari wa Zanzibar

Arsenal ameshinda ligi zaidi ya mara kumi
Hakuna uzushi wala uongo
Usianze kupanic binti wa kizaramo, au unazidiwa hoja?

Taja hiyo miaka zaidi ya kumi ambazo Arsenal alichukua EPL cup
 
Back
Top Bottom