mkuu mie nime give up baada ya hio ya gallas hapo.Naungana na wewe mkuu, kweli eduaado ataleta nguvu mpya. Hawajamaa 2kiwapiga kimoja ndo wataacha kudefend
he was a lit bit offside but we deserve it after the hard work we did lol.the man from Russia scores!!
nice game.this was the real arsenal that we r used to,fantastic game ,very entertaining n thats our style.
Hili goli la Arshavin ingawa alikuwa offside ni zuri sana, the backheel was a rare technique!
naomba matokeo jamani
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyo endela kule Champions league
by the way Ukumbi huuu tunaweza kuruhusu clabu moja kuwa discussed nayo ni WESTHAM UNITED kutokana na uhusiano mzuri ambao vijana wengi wenye Asili ya Tanzania wanvyonufaika na Academy hapo Upton Park
I hope itabidi achaguliwe moderator wa hii forum maana najua majitu ta TOTTENHAM na MAN U watatuvamia humu for a start lets discuss CHAMPIONS LEAGUE
Tangu mmeanza Champs league mnabebwa
1.Game ya Cleltic penati ya Eduardo
2.Game ya kwanza ya makundi Song/Eboue alizuia mpira kwa mkono akafunga
3.Goli la jana la Arshavin Offside