Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa majeruhi vipi wakuu,mbona wazidi ongezeka tuuuu

mmh naona inakaribia kuwa eleven! Hii si habari njema kabisa!! tuombe yasiwe long term!!

...aaaarrrghhh, mambo ya International duties hayo,...

anyway, Samir Nasri alivunjwa mguu na huyo huyo Diaby 'mazoezini', hakuna wakumlaumu hapo...

Denilson ile fracture ndogo kwenye uti wa mgongo inabidi kuwa handled with care, si unajua tena hizi brittle bones?... Song ataziba pengo...

Angalau Diaby ale bench kidogo bana, pamoja na ball control yake nzuri anapenda zile 'anao, anao...' mpaka inakera... huenda Ramsey, au Wilshere wakabahatika kupata dakika kidogo huko kwa Brummies...

...BTW, Eboue, Walcott, Rozisky na Arshavin, (achilia mbali Fabulous Fabregas) ni additional midfielders. worry you not!

Eduardo match fitness yake bado mushkeli,... Bendtner, Robin Van Persie, au hata Carlos Vela wataendeleza guruduma la mashambulizi pale mbele...

Djourou, kama ilivyokuwa kwa Eduardo na Rozisky msimu uliopita, tumsahau msimu huu. Senderos na babu Silvestre watam cover.

Clichy naye ana niggling injuries kila mara sasa, sijui ndio umri? anyway, kijana Kieran Gibbs yupo, na hata Armand Traore anacover beki tatu bila wasiwasi...!

!!!
 
Jamani M. Almunia ndio kusema kanyang'anywa namba? Ingawa jamaa katoka kwenye umajeruhi. Naona leo yupo benchi
 
Jamani M. Almunia ndio kusema kanyang'anywa namba? Ingawa jamaa katoka kwenye umajeruhi. Naona leo yupo benchi
nivizuri kuendelea kumpa mda mannone kwa vile yuko kwenye form sio.almunia tutampa mechi ya carling against liverpool hili arudishe akili kwenye mpira.ni kipindi kirefu kidogo.
 
Tunaongoza kwa magoli mawili tayri,mpaka sasa matokeo ni 2-0(Van Persie dk 16 na Diaby dk 18)
 
mie nishaacha kutazama Arsenal...wananiudhi mtu kila kukicha tunashinda migoli kama utitiri vile

ahhh mie naangalia Cricket maana haya mamabo ya kushinda kila kukicha nshachoka mie.

Yaani hata droo hatutoki

arrrgh
 
mie nishaacha kutazama Arsenal...wananiudhi mtu kila kukicha tunashinda migoli kama utitiri vile

ahhh mie naangalia Cricket maana haya mamabo ya kushinda kila kukicha nshachoka mie.

Yaani hata droo hatutoki

arrrgh
ha ha ha mkuu ujafa ujaumbika lol tuendelee kumuomba dua tu tutafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…