Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Hawa majeruhi vipi wakuu,mbona wazidi ongezeka tuuuu
mmh naona inakaribia kuwa eleven! Hii si habari njema kabisa!! tuombe yasiwe long term!!
...aaaarrrghhh, mambo ya International duties hayo,...
anyway, Samir Nasri alivunjwa mguu na huyo huyo Diaby 'mazoezini', hakuna wakumlaumu hapo...
Denilson ile fracture ndogo kwenye uti wa mgongo inabidi kuwa handled with care, si unajua tena hizi brittle bones?... Song ataziba pengo...
Angalau Diaby ale bench kidogo bana, pamoja na ball control yake nzuri anapenda zile 'anao, anao...' mpaka inakera... huenda Ramsey, au Wilshere wakabahatika kupata dakika kidogo huko kwa Brummies...
...BTW, Eboue, Walcott, Rozisky na Arshavin, (achilia mbali Fabulous Fabregas) ni additional midfielders. worry you not!
Eduardo match fitness yake bado mushkeli,... Bendtner, Robin Van Persie, au hata Carlos Vela wataendeleza guruduma la mashambulizi pale mbele...
Djourou, kama ilivyokuwa kwa Eduardo na Rozisky msimu uliopita, tumsahau msimu huu. Senderos na babu Silvestre watam cover.
Clichy naye ana niggling injuries kila mara sasa, sijui ndio umri? anyway, kijana Kieran Gibbs yupo, na hata Armand Traore anacover beki tatu bila wasiwasi...!
!!!