Arsenal (The Gunners) | Special Thread

imepooza sio kasi yetu hile ya kawaida na naona vijana wetu wame relaxed sasa hivi baada kumaliza game goili 2 hazitoshi kabisa.hapa tunahitaji goli la tatu hili wakina fabregas ,arshavin wakapumzike kwa ajili ya mechi na spurs.

Nakweli, la tatu ni lazima!

...kwanza ni j'5 Vs Liverpool kwenye Carling Cup, kisha na hao wachovu wa Spurs Oct 31st!
 
West Ham wamefunga,Manone naye kapangua kibweege...Arsenal2 West Ham 1
 
Ona AW anaacha kumuingiza Eduardo anamuingiza huyu mwendawazimu Bendtner(mbahatishaji)..aaaaaaaaargh
 
Mkuu Arsene Wenger nakuona kwa mbaaali unachungulia... Wakati wa match ya Man U ulionekana mwingi wa maneno, niaje mkuu?

Teh teh teh teh!
 
we wasted the game and we cant be serious contenders if we will keep on droping points like this.wamearibu furaha yote ya man united kufungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…