Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
mkuu sare ya stahili ni mbaya sana na inauma mno.ningesema sio mbaya kama jamaa wangetusumbua toka mwanzo lakini game ilikuwa tuna control na tukashindwa kuimaliza na huu ndio mchezo wetu kila siku.walijifanya wamejifunza kutoka game ya juzi champions ligi lakini this is worse than the game against akmaar.nimechukia mno na hakuna cha kujivunia leo.tunaongoza goli 2 na tushajua matokeo mengine yote alafu tunaacha kuchukua point 3 zote?Sare sio mbaya sana,maana jamaa wako kwao mkuu...Kuna wengine wanaugulia maumivu yasiyofaa leo,wapo jirani tu hapo...Belo,Manda& the Co...
Mkuu Arsene Wenger nakuona kwa mbaaali unachungulia... Wakati wa match ya Man U ulionekana mwingi wa maneno, niaje mkuu?
Teh teh teh teh!
mkuu inamana comments zangu uzioni au ndio fujo tu? lolKaingia mitini...kwi kwi kwi
mkuu inamana comments zangu uzioni au ndio fujo tu? lol
Mamaaee ligi hii sasa imekaa kiupande upande yani duh!! Arsenal na Man Utd wamefungwa mechi mbili wamedraw moja Chelsea keshafungwa mbili tayari kutabiri kugumu.
Hao Man City na Spurs siwapi nafasi maana wameshaanza kuchechemea.
...mechi ya pili muhimu tunapoteza pointi mbili muhimu, aaaarrrggghhhh!
Afadhali hawa jamaa hawajashinda
Afadhali nyie mlinyukwa!
Kila mtu ana kibonde wake, bora wameshinda maana kibarua cha Benitez kingeota nyasiTena walivyofanyiwa hawa jamaa hadi raha, kuna wakati huwa nashindwa kuelewa man u wanaweza vipi kuzifunga timu nyingine.
...mchekea hao,
..hata sisi tuliwapiga mengi hao...sita tu!
...mechi ya pili muhimu tunapoteza pointi mbili muhimu, aaaarrrggghhhh!
Tulipowapiga 5 mtungi vijana wa Sam Allardyce, ulisema maneno hayo hapo juu.
Sasa na nyinyi mkikutana na vibonde mnagawana point!!! Ni aibu na noma, ndio maana hivi sasa hatumuangalii nyani usoni; tunakandamija tu hadi kieleweke 09/10. π π