Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zikiwa zimesalia dakika chache kabla ya kile kidumbwedumbwe kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu kati ya sisi 😉 na L'pool. Mimi tayari nimeshakaa mkao wa kula. Ni mechi yenye umuhimu kwa timu zote mbili lakini Arsenal kutokana na poor performamnce waliyoonyesha katika mechi za karibuni inabidi wacheze soka la uhakika na kuibuka na ushindi. Arsenal 2 Liverpool 0 ha ha ha ha Mchongoma na Kana Kansingu Mpo!? Enjoy the game.

...Nipo kaka,...😀 nilikuwa naweka mitambo sawa... Samir Nasri naona naye yupo fit leo kuanza...

...Benitez naona leo ata miss the game, ile Op ya kuondoa Kidney stones, sijui atatoa instructions akiwa nyumbani kwake?

 
Arsenal leo naona hawasimamisimami kama katika mechi zilizopita. Wanachallenge kila possesion ya L'pool 🙂
 
Arsenal leo naona hawasimamisimami kama katika mechi zilizopita. Wanachallenge kila possesion ya L'pool 🙂

typical Arsenal wanapocheza na vigogo! Man U, Chelsea, sasa Liverpool... 🙁

I wish wangekuwa consistent mechi zote!

BTW, Liverpool wanasawazisha...
 
Dakika ya 42 Keane anasawazisha 1-1
 
Kipindi cha pili ndiyo kinaanza.
 

........mmmmmmmnnnnn...

adebayor red carded!!!!

🙁
 
Adebayor anaonyeshwa kadi ya pili ya njano ambayo hakustahili na kutolewa nje. Arsenal wanabaki 10 uwanjani. L'pool sasa watashambulia kama nyuki maana wanajua point zote tatu wamewekewa mezani na referee ili wazinyakue. Duh! huyu referee noma kweli kweli!!! 🙁
 
Kuna kila sababu ya Arsenal kuappeal kadi nyekundu dhidi ya Adebayor ambayo hakustahili, au vinginevyo mechi inayofuata hataruhusiwa kucheza. Bad0 1 -1 dakika ya 89. Referee kaongeza dakika tatu.
 
Kuna kila sababu ya Arsenal kuappeal kadi nyekundu dhidi ya Adebayor ambayo hakustahili, au vinginevyo mechi inayofuata hataruhusiwa kucheza. Bad0 1 -1 dakika ya 89. Referee kaongeza dakika tatu.

Tulioona kwenye runinga tunakubaliana na kadi iliyotolewa. Ona tena maneno ya commenter wa bbc "Emmanuel Adebayor goes in with his foot over the top on Alvaro Arbeloa and also seems to wave an arm in the defender's face. That's a definite yellow to go with the questionable one in the first half. Arsene Wenger is fuming. But it might even have been a straight red... "
acha kulialia lini mliiweza Liverpool.
 
Kwa mwendo huu ndio maana Benitez hajiamini kama wanaweza kuchukua epl season hii.
 
Kwa mwendo huu ndio maana Benitez hajiamini kama wanaweza kuchukua epl season hii.

Naam refa aliwabeba na kuwawekea 3 points mezani na wao wakashindwa kuzichangamkia.
 
...sad🙁sad🙁sad news!!!

Fabregas naye ameingia kwenye list ya majeruhi wa muda mrefu, i.e Roszisky, Walcott...

January window panahitajika kuzibwa pengo la experienced midfielder haraka iwezekanavyo, wakati Wilshere na Ramsey wanatayarishwa kuziba pengo...
 
Back
Top Bottom