Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Zikiwa zimesalia dakika chache kabla ya kile kidumbwedumbwe kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu kati ya sisi π na L'pool. Mimi tayari nimeshakaa mkao wa kula. Ni mechi yenye umuhimu kwa timu zote mbili lakini Arsenal kutokana na poor performamnce waliyoonyesha katika mechi za karibuni inabidi wacheze soka la uhakika na kuibuka na ushindi. Arsenal 2 Liverpool 0 ha ha ha ha Mchongoma na Kana Kansingu Mpo!? Enjoy the game.
...Nipo kaka,...π nilikuwa naweka mitambo sawa... Samir Nasri naona naye yupo fit leo kuanza...
...Benitez naona leo ata miss the game, ile Op ya kuondoa Kidney stones, sijui atatoa instructions akiwa nyumbani kwake?