Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hamna cha Gundu wala nini, AW yeye mwenyewe anajitakia hizo Gundu, hii ni pamoja na kuchangia kutoweza kuwa hifadhi wachezaji wazuri alio kuwa nao, the likes of Flamini.

Kwa mtindo huo nadhani timu yenu itachukua mda sana kuimarika

NB;Toure i guess ana face playing FATIQUE, mshkaji unajua kuna misimu MIWILI kama sio MITATU amecheza mfululizo? (tatizo jengine la AW hilo), nafikiri ili arudi kwenye Fomu yake anahitaji msimu huu kupumzika sana.
 
Wenger has to spend big in january otherwise tunaweza kushuka daraja bila dogo Fabregas, so far tumeshapoteza mechi 5 katika hii half ya kwanza ya season na sitashangaa tukipoteza 5 nyingine kwenye ngwe ya pili, he has to do something now......

Fabregas faces four-month lay-off


Arsenal captain Cesc Fabregas has been ruled out for up to four months after rupturing knee ligaments in Sunday's Premier League draw with Liverpool.

The 21-year-old Spanish midfielder suffered the injury going for a 50-50 challenge with compatriot Xabi Alonso.

Gunners boss Arsene Wenger admitted he could now make a move for new players in the January transfer window.

"It is more likely but we also have internal solutions and we are not desperate," said Wenger.

"But we also have a small squad so we have to be realistic."

Fabregas hobbled off the pitch in obvious discomfort after going in for the challenge with Alonso at full stretch just before half-time in the 1-1 draw at the Emirates Stadium.


"The news is not good. It will take three to four months, we count four," added Wenger.
"He will be working hard to come back earlier but I count four months."

If Wenger's assessment is correct, Fabregas will be sidelined until late April, and would miss all but the last five or six of Arsenal's Premier League matches.

The Gunners are eight points off leaders Liverpool in fifth place, and face a key encounter with third-placed Aston Villa on Boxing Day.

Fabregas will also miss the Champions League quarter-finals, if Arsenal get past Roma in the last-16 stage.

"We will miss him, of course, but how much is difficult to say," Wenger added.

"We have to find a way and we want to find a way to compensate the fact that he is not on the pitch to give everyone a bit more. I'm sure we can deal with it.

"When he comes back he can help us get over the line in the final months. I believe we are able to do it."

The Gunners are already without midfielders Theo Walcott and Tomas Rosicky, who are out until well into the new year.

Fabregas's injury leaves Wenger short of options and experience in midfield with Alex Song, Abou Diaby, Denilson and Aaron Ramsey likely to contest the slot left by the skipper.

Wenger is yet to decide who will take the captain's armband from Fabregas.

Goalkeeper Manuel Almunia took over when William Gallas was stripped of the captaincy and Fabregas was serving a suspension.



bbc sports.
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza Arsenal 1 Aston Villa 0 kwa goli la Denilson lilifungwa katika dakika ya 40.
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza Arsenal 1 Aston Villa 0 kwa goli la Denilson lilifungwa katika dakika ya 40.

Ila naskia tumefunga hilo goli against the run of play, tunakimbizwa kichizi, kuna mtu amefananisha kitendo cha Arsenal kufunga kama 'day-light robbery'!
 
Diaby anafunga goli la pili katika dakika ya 48 πŸ™‚
 
Ila naskia tumefunga hilo goli against the run of play, tunakimbizwa kichizi, kuna mtu amefananisha kitendo cha Arsenal kufunga kama 'day-light robbery'!

Ni Kweli tulielelemewa kidogo kipindi cha kwanza. Jamaa si wanatujua sisi ni wachovu na wiki chache zilizopita walituchapa 2-0 nyumbani hivyo walikuwa na motisha wa hali ya juu kujinyakulia points 3 nyingine, lakini mambo yanawaendea kombo.
 
Dakika ya 65 Barry anapata goli kwa penalty Arsenal 2 Aston Villa 1
 
We have turned on the heat, tushawagonga cha pili, haka ka timu kana vituko sana- kila ukidhani watafungwa wao ndo wanashinda! Wenger ni tactician mzuri kuliko O'neill na naona aliusoma mkanda akajua kile kichapo cha Emirates kilisababishwa na nini, na hawa Villa huwa wakicheza nyumbani wanakuwa more offensive tofauti na wakicheza away ambako wanaganda nyuma na ku counter attack.
 
Dakika ya 91 Aston Villa wanasawazisha, Referee aliongeza dakika 4 za majeruhi.
 
Mpira umekwisha 2-2, we lost another good opportunity to snatch 3 precious points. πŸ™
 
Arsenal my team, another draw. Kazi kweli kweli. Inauma lakini hakuna jinsi, let's focus metch zinazokuja.
 

...hili bwege ARSENE WENGER linadhani wapenzi wa Arsenal wanaridhika na ushindi dhidi wa Chelsea na Man U tu... Bwege sana hili zee!...kuna kila dalili ARSENE WENGER team imemshinda,... ndio maana akiona wachezaji wenye umri na experience wana pose threat ya ujuzi wake mdogo, anawauza...

how long atajificha nyuma ya kivuli cha 'kufungwa twafungwa chenga twawala?' ...hakuna team yeyote kwenye premier league inayoiogopa Arsenal sasa...kwani Arsenal hawana ubavu hata wa kumaliza Top 4.... na Arsene Wenger hajali!...hajali kabisaaaaa huyu Bwege!...

dah.........πŸ™ inauma kichizi, kaniharibia siku yangu yoote
 
Arsenal my team, another draw. Kazi kweli kweli. Inauma lakini hakuna jinsi, let's focus metch zinazokuja.

...ewe ndugu yangu, hakuna matarajio wala matumaini, maumivu tu yanakuja huko mbele ya safari...! labda huyu mdingi atimuliwe...

Arsenal inahitaji Manager mpya mwenye mwelekeo na mtizamo tofauti wa ushindi....

Arsene Wenger anajisifia na ile unbeatable team, winning doubles blah blah blah.... Jose Mourinho ali achieve hayo Chelsea, Sir Alex Ferguson ame achieve hayo Man U, Rafa Benitez kesha achieve mangapi Liverpol hajisifii ila matendo?...

Ujuzi wa Arsene Wenger umeishia hapo!!!!!!!!!!

WENGER OUT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

...you've run out of options and tactics,.... save your face mr wenger before it is too late
 
Mechi ilikuwa ni one way traffic na Villa walipoteza nafasi nyingi tu, pamoja na hayo tuliongoza kwa mabao 2 matokeo yake tumerudishiwa last minutes kama ilivyotokea dhidi ya Spurs!
Wenger timu imemshinda, pamoja na majeruhi mechi kama hii ambapo there was too much at stake inakuwaje kupoteza ushindi? tena ktk dakika za majeruhi?
Ukiangalia mechi ya Spurs na hii ya leo makosa yamekuwa yaleyale! zikiwa zimesalia dakika 3 kwisha mpira na tuko na ball possession kwa nini wachezaji wetu washindwe ku keep ball possession alau kwa dakika hizi 3? Huwezi kuona Utd ama Chelsea wakifanya makosa ya kitoto kama hivi. Hii inauma sana.
 
Niwatakieni heri mpya ya Mwaka 2009 Na heri nyingine ya duru jipya la lala salama la EPL.
 
Niwatakieni heri mpya ya Mwaka 2009 Na heri nyingine ya duru jipya la lala salama la EPL.

...mbona mapema, kama shati utavutwa tu ...haya, sie jumapili tunakidunda na 'vibonde' wa Portsmouth, halafu ndio tutajua Happy au Sad new year...

Wish you well Manda, all da best
 
Shukuruni kwamba mlipata magoli mapema lakini game mlikuwa mnafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…