Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...mnh, 🙁 mpaka sasa AW anaendeleza u -Tom & Jerry, au kama no mchezo wa chess bado kashikilia galasa anafikiria wapi aweke 'kingi!', kimyaaaaaaaaa...
 
...BAK, KKN, leteni utabiri wa leo...!

recently Hull City wamekuwa wanarudi kinyume nyume utadhani gari la tela,... mpaka sasa Hull pamoja na nafasi nzuri waliyopo, ni team inayoongoza kwa kufungwa magoli mengi, mfumo wao upo more suitable kwa mashambulizi ya Arsenal. Walipotufunga ilikuwa nguvu ya 'pepsi?'

mcheza kwao hutunzwa, lakini Arsenal ya mwaka huu imekuwa more consistent na ushindi wa ugenini kuliko nyumbani 'Imirati'. Boo-Boys wanatusumbua sana pale 75 Drayton Park London.
 
kila la kheri watani, wenzenu tumesha pata point 3 zetu na sasa tunaongoza ligi. Mkikamatwa na hawa vijana huenda mkasahau hata nafasi ya 4.
 
kila la kheri watani, wenzenu tumesha pata point 3 zetu na sasa tunaongoza ligi. Mkikamatwa na hawa vijana huenda mkasahau hata nafasi ya 4.

Ndo maana yake mkuu maana Aston Villa nao wamempiga Sunderland,so kazi bado ni pevu
 
Adebayor anaona nyavu za Hull dakika ya 29. Arsenal 1 Hull 0
 
Du! Refa kawaokoa, yaani kaacha penalti hiyo! Hawa marefa wanamatatizo.
 
Dakika ya 82, Nasri anaziona nyavu za Hull, Arsenal 2 Hull 1
 
Bendtner anafunga la tatu dakika ya 86 🙂
 
Leo naona ni iliku siku ya arsenal. Full time Arsenal 3 hull 1
 
Thank God tumeshinda..Mashabiki wa Arsenal hongereni kwa ushindi,ila ngoma bado nzito maana Aston Villa kampiga mtu leo so bado wapo juu yetu
 
Thank God tumeshinda..Mashabiki wa Arsenal hongereni kwa ushindi,ila ngoma bado nzito maana Aston Villa kampiga mtu leo so bado wapo juu yetu
Nawe u mpenzi/shabiki wa timu gani vile? Ili tuje kukupa support siku mkiwa dimbani...🙂
 
...mnamuona Simba kalowa mnadhani nyau, nyieeee...., Ogopa!!!
 
narudia tena kusema arsenal ni mbovu na msitegee kuona maajabu yoyote msimu huu mpaka yule mpumbavu wenger atakapotimuliwa na falsafa zake za kipuuzi zitakapofutiliwa mbali.
 
...mnamuona Simba kalowa mnadhani nyau, nyieeee...., Ogopa!!!

narudia kuwaambia wadogo zangu kuwa arsenal still ni timu mbovu na msitegemee kufanya lolote la ajabu msimu huu mpaka yule mzee mpumbavu atakapotimuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…