Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mwaka wetu mbaya huu!

Sijui ni kwa nini?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Bonge la chance hili lilikuwa leo la kubrigde gap yetu na Villa! Hii timu inahitaji wachezaji at least watatu, hata tukimsajili huyo Arshavin sidhani kama atakuwa na impact yoyote! Wenger anatakiwa tu akubali kwamba mpira wa siku hizi ni pesa, you dont spend- you dont win f..k all!
 
Hao watatu sijui kama watapatikana mkuu,maanakesho ndo nadhani ndo mwiisho wa dirisha dogo hata huyo mmoja hajasajiliwa...job true-true
 
Aagh huyu adebayo anahitaji clear chances ngapi ili afunge!
 
Hao watatu sijui kama watapatikana mkuu,maanakesho ndo nadhani ndo mwiisho wa dirisha dogo hata huyo mmoja hajasajiliwa...job true-true

Mwisho wa dirisha ni jumatatu saa 11 jioni, Wenger anasifika kwa kupiga deal za siri so tusubiri labda kutakuwa na few suprises dirisha likifungika!
 
Tunazidi kuweka pengo tu kati yetu na wale walio juu yetu. Hizi sera za Wenger za kusajili young players naona zimeshindwa. Wapenzi na washabiki hatutaki kusubiri miaka 5ili kutwaa ubingwa. Na pia hakuna uhakika hao young players wataendelea kubaki na timu baada kujitengenezea majina. Tunahitaji muelekeo tofauti wa usajili katika msimu ujao
 
WENGER,has taken arsenal,as far as he can,he should,as a man,bow out gracefully and let others pilot the ship to glory.arsenal may have a proud past,but what counts now is the present and the future.sadly though he seems no nearer to a solution as the midas touch has deserted him
 
Mbu nilikwambia game ya West Ham,haya tusubiri na Spurs uone
 
Msipoangalia hata huyo AA mtamkosa au wenger anataka kufanya kama Fergie alivyofanya kwa Berbatov
 
Like twins eh?
222_WB.JPG.html

t222_WB.JPG
 
Attachments

  • W&B.JPG
    W&B.JPG
    13.5 KB · Views: 33
Habari za kuaminika according to Sky sports ni kwamba mazungumzo kati ya Arsenal na Arshavin yamevunjika na mshkaji yupo njia kuelekea airport kudaka ndege ya kurudi kwao! It must be down to ubahili wa AW, atakuwa alikuwa anataka ampige panga kwenye personal terms.
 
Crazy, Arshavin deal is back on, sky sources zinadokeza kuwa 'Arsenal are very close' to agreeing a deal with St Petersburg, muda wa dirisha umerefushwa kutokana na hali mbaya ya hewa leo hapa UK.
 
Arsenal has now agreed a deal with St Petersburg and personal terms with Arshavin, the only hurdle remaining is an agreement on the percentage ya kitakachopatikana iwapo Arsenal wataamua kuuza in the future, almost there! Kwa jirani zetu na watani wa jadi Spurs- Robbie Keane is back from Liverpool, crazy too!
 
...Ebwana weeeh deal limebumbuluka hiloooo!!!!board ya ARSENAL na AW wote wanahitaji kupigwa mawe!!!!

Tushamkosa huyo!!!!!!!!!! 🙁
 
...Ebwana weeeh deal limebumbuluka hiloooo!!!!board ya ARSENAL na AW wote wanahitaji kupigwa mawe!!!!

Tushamkosa huyo!!!!!!!!!! 🙁

Kikwazo kilichopo ni cha msingi na nakubaliana na AW pamoja na Board kwa kuwa hawa jamaa wa St Petersburg wanataka kutulalia. Fununu ni kwamba wanataka 50% ya signing on deal. ie kama tutamuuza Arshavin in the future kwa bei yoyote ile basi wao wanalamba nusu! Deal za kisen.e kama hizi kama wanazitaka waende Chelsea au Manchester City sio kwa mchumi!
 
View attachment 3480...the only sticking point remaining in the transfer is a certain amount of money that the Russia side believe Arshavin owes them.

The 27-year old attack-minded playmaking midfielder signed his last contract with Zenit that had a loyalty bonus inserted in the deal believed to be £5 million. It is this fee that the club are reportedly demanding back from the player

...Show him the money!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 🙁
 
Naona Mbahili AW kafanya kweli,Arshavin ndani ya Imarati
 
Back
Top Bottom