Bendtner = 2 left feet!! Amekosa vipi bao lile? alafu analalamika hapewi gemu.
Ilikuwa ni faraja kumuona Dudu fiti na akitingisha wavu, kwa sasa huku mbele mabao yapo, V'persie, Arshavin, Nasri, Dudu na Ade wote wana uwezo wa kufunga, tatizo letu liko palepale hatuna creative players hapa katikati wa kupeleka service kwa strikers.
Denilson, Diaby, Song na Ramsey uwezo wao mdogo mno na hawana vision na creativity kama ya Fabregas au Hleb.
Niliangalia ile mechi ya Brazil v Italy wiki iliopita na nilikua najiuliza kwa nini Wenger kamuachia Gilberto kisa eti mzee na anataka kontrakta ndefu? hapohapo ameenda kumsajili Silverstre? Gilberto ni Leader ana uzoefu na vilevile yupo creative.