Fabregas, man of the day!!!! 2 brilliant heroics!!
Cesc Fabregas rounds Brad Jones
javascript:;
Cesc Fabregas places the ball into an empty net
Theo Walcott congratulates Cesc Fabregas
...π huyo kipa kazungukwa mpaka mwenyewe anacheka cheka hivi, dah... ama kweli jamaa ni "fabulous!"
I wish Arshavin angekuwepo hiyo Jumatano jamani

Mkuu Mbu,
Washika bunduki tunaelekea kutwaa ngome kongwe come jumatano!!
Cup tied buddy!!
Balatanda, kwa jinsi nilivyoona mechi ya jana, ukigangamala na Rooney na Ronaldo and then vijana kama theo na wenzake siku hiyo wawe kwenye fomu lazima tuondoke na ushinde. Nimefurahi kurudi kwa Almunia manake yule nyanda mwingine alikuwa ugonjwa wa moyo.
...ooohhhh yeah, bring 'em on!!! π
...ndio salama yenu hiyo? π
...naombea na Silvestre aendelee kuugulia mgongo...sitaki acheze j'5 π‘
Tatizo mnaongea sana kama Les Bleus ila trophy shelves nyeupe!! Weekend ilikuwa vipi lakini muungwana?
...weekend shwari, juakali tu! vipi pande hiyo? aisee game ya Jumatano nimeamua kutoiangalia! presha inapanda, mara inashuka...yanini kuacha 'kizuka' kisa mpira?
Nitajiburudisha na game ya Chelsea na Barca, kisha jumatano huyooooo...viwanja vingine, kuna michezo mingi tu ya kuangalia, Snooker, Golf, Darts,....!

Kisale acha kumdangaya mwenzio MBU anajua nini kitakachotokea ndio maana anasema mapema ,nyie Chelsea mbona mnatuogopa sana nawaombea muwatoe Barca then tukutane tena fainali .Hivi last season tulivyowafunga tulipewa penati na huyo Howard

Acha uoga wewe; ukiacha kizuka shem wako masanilo yupo "atamlinda" tu usijali.
...Nina hamu sana tukutane na Man final kuliko Arsenal,ila najua hamchomoki kwa the gunners.
-Emmanuel Adebayor"For me that must be something special. It is like a boy being told Beyonce is looking for them."
Leo tunawabamiza MANU 2-1 kwenye UEFA...Enjoy the game π