Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Cesc Fabregas rounds Brad Jones

javascript:;

Cesc Fabregas places the ball into an empty net

Theo Walcott congratulates Cesc Fabregas

...😀 huyo kipa kazungukwa mpaka mwenyewe anacheka cheka hivi, dah... ama kweli jamaa ni "fabulous!"
 
Mkuu Mbu,

Washika bunduki tunaelekea kutwaa ngome kongwe come jumatano!!
 
I wish Arshavin angekuwepo hiyo Jumatano jamani

Balatanda, kwa jinsi nilivyoona mechi ya jana, ukigangamala na Rooney na Ronaldo and then vijana kama theo na wenzake siku hiyo wawe kwenye fomu lazima tuondoke na ushinde. Nimefurahi kurudi kwa Almunia manake yule nyanda mwingine alikuwa ugonjwa wa moyo.
 
Mkuu Mbu,

Washika bunduki tunaelekea kutwaa ngome kongwe come jumatano!!

...ooohhhh yeah, bring 'em on!!! 😀

Cup tied buddy!!

...ndio salama yenu hiyo? 🙂

Balatanda, kwa jinsi nilivyoona mechi ya jana, ukigangamala na Rooney na Ronaldo and then vijana kama theo na wenzake siku hiyo wawe kwenye fomu lazima tuondoke na ushinde. Nimefurahi kurudi kwa Almunia manake yule nyanda mwingine alikuwa ugonjwa wa moyo.

...naombea na Silvestre aendelee kuugulia mgongo...sitaki acheze j'5 😡
 
...ooohhhh yeah, bring 'em on!!! 😀

...ndio salama yenu hiyo? 🙂

...naombea na Silvestre aendelee kuugulia mgongo...sitaki acheze j'5 😡

Tatizo mnaongea sana kama Les Bleus ila trophy shelves nyeupe!! Weekend ilikuwa vipi lakini muungwana?
 
...weekend shwari, juakali tu! vipi pande hiyo? aisee game ya Jumatano nimeamua kutoiangalia! presha inapanda, mara inashuka...yanini kuacha 'kizuka' kisa mpira?

Nitajiburudisha na game ya Chelsea na Barca, kisha jumatano huyooooo...viwanja vingine, kuna michezo mingi tu ya kuangalia, Snooker, Golf, Darts,....!
 
Idea nzuri sema inabidi simu nayo uzime lol, mie weekend nimeshinda naangalia Burn Notice na Chuck. Ila jumatano hmm pressure ishaanza kupanda sasa.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=myn0Luh_K58]YouTube - Face Off.[/ame]
 
...weekend shwari, juakali tu! vipi pande hiyo? aisee game ya Jumatano nimeamua kutoiangalia! presha inapanda, mara inashuka...yanini kuacha 'kizuka' kisa mpira?

Nitajiburudisha na game ya Chelsea na Barca, kisha jumatano huyooooo...viwanja vingine, kuna michezo mingi tu ya kuangalia, Snooker, Golf, Darts,....!

Acha uoga wewe; ukiacha kizuka shem wako masanilo yupo "atamlinda" tu usijali.
 
Pole sana Mbu! ila nasikitikia maamuzi yako kwa sababu mimi naamini the gunners mnaiondoa hiyo timu ya FA,wajue kabisa kule hachezeshi Howard,na hamna penalt za utata km weekend hii,sana sana wakijidondosha watishia kuambulia kadi za njano.Presha iko kwetu tunaoenda huko Spain,sijui ngome yetu itamzuiaje yule kicheche wa Kiargentina.Mbu nakushauri kaangalie mechi,hiyo ngoma mnashinda.
 
Kisale acha kumdangaya mwenzio MBU anajua nini kitakachotokea ndio maana anasema mapema ,nyie Chelsea mbona mnatuogopa sana nawaombea muwatoe Barca then tukutane tena fainali .Hivi last season tulivyowafunga tulipewa penati na huyo Howard
 
Belo;

Hatuwaogopi ila tunapenda sana tukutane tena this time ili tuwathibitishie kwamba last yr mlibahatisha !!!
 
Kisale acha kumdangaya mwenzio MBU anajua nini kitakachotokea ndio maana anasema mapema ,nyie Chelsea mbona mnatuogopa sana nawaombea muwatoe Barca then tukutane tena fainali .Hivi last season tulivyowafunga tulipewa penati na huyo Howard

Belo!naamini last season uliona mwenyewe,maamuzi ya kumpa Man ubingwa yalitumia cruel method ambayo iliwekwa na FIFA pindi timu 2 zikitoshana nguvu dk 120,itabidi njia ya penalt itumiwe kumpata mshindi au timu ya kusonga mbele kwenye step nyingine.hata Tanzania ukituletea Brazil Taifa tupigiane nao Penalt tu, tunaweza kushinda.Nina hamu sana tukutane na Man final kuliko Arsenal,ila najua hamchomoki kwa the gunners.
 
Acha uoga wewe; ukiacha kizuka shem wako masanilo yupo "atamlinda" tu usijali.

...dah, 'kizuka' nimuachie mzee wa kuji 'express urself' ? No way bana 😡 acha tu nivumile siku moja, nitasoma magazeti ya kesho yake (alhamisi)...

...Nina hamu sana tukutane na Man final kuliko Arsenal,ila najua hamchomoki kwa the gunners.

...now you are talking...!
 
Quote of the week...

"For me that must be something special. It is like a boy being told Beyonce is looking for them."
-Emmanuel Adebayor
 
Leo tunawabamiza MANU 2-1 kwenye UEFA...Enjoy the game 🙂
 
Back
Top Bottom