Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbu anakunywa kangala kwa mama pima hataki kusikia chochote kuhusu hii gemu. Naona Giggs na Berba wameingia Rooney kulia, berba kati na Giggs kushoto.
 
Ona Wenger ujinga anaoufanya anamuingiza Berndtner badala ya Eduardo,ujinga mtupu yaani
 
Mbu anakunywa kangala kwa mama pima hataki kusikia chochote kuhusu hii gemu. Naona Giggs na Berba wameingia Rooney kulia, berba kati na Giggs kushoto.
Kama nilvyosema hapo juu,leo 'Mbuzi kala Mbwa'
 
At least mechi ya leo ni entertaining si kama ya jana. Ferguson alisema goli moja linawatosha...Naona kama inaelekea kuwa kweli...Tusubiri tuone,mpira dk 90.
 
Arsenal watakuwa na bahati kama wakifungwa goli moja peke yake,wakitoka draw ni muujiza,Wenger kafanya kosa jingine,sioni manufaa ya Bertdner.
 
Dk ya 87 Ferdinand anatolewa baada ya kuumia na kuwa replaced na Evans.
 
kazi kweli kweli 4min za miujiza ya babeli....
 
Mbona raha nafurahia sababu ya my sweet heart...Arsenal huwa na Kelele sana....

Usisahau kutupa hongera kule kwenye jukwaa letu..Maana huwezi jua labda marudiano watalipiza kichapo kwao pale Emirates..Thanx for you support my dear!!!!
 
Arsenal fans, leo mmezidiwa na poleni kwa kufungwa. Elekezeni nguvu kwenye mechi ya marudiano..Msikate tamaa!!
 
MAN 01 ARSENAL -01

mpira UMEKWISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
HONGERENI MAN
 
bado mna nafasi wiki ijayo, msikonde, semi final ni two legs kama ambavyo mechi moja ni dakika 90! hhaaa hhaaaa!
 
poleni, pale Emirates mtatandikwa 2 : 0 (3:0 agg.) ili iwe fundisho kwenu.
 
Mr. Bean miti inaanza kuteleza poooleepoooolee..Another trophyless season.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…