Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Yeah,mpira umeisha,tumefungwa goli moja bila,lakini haisummbui sana kivile,nina uhakika tutatoka next match ndani ya Imarati,maana leo nilitegemmmmmmmmea tutapigwa 2 au 3.Heko kwa Sylivestre,nilmunderestimate,amecheza vizuri kwa kweli,pia golikipa Almunia...Nina uhakika next match tutatoka
Mmmh acha uongo mkuu,una uhakika na unachokiongea ama umesimuliwaaaaaaaapoleni, pale Emirates mtatandikwa 2 : 0 (3:0 agg.) ili iwe fundisho kwenu.
Hapana wewe ni muongo,matokeo ni moja bila(unahesabia na gli la Giggs la offside nn)poleni, pale Emirates mtatandikwa 2 : 0
Kama kupita labda goli la ugenini litawasaidia lakini imarati lazima afungwe mtu
Unakosea mkubwa,kumbuka ya kwmba mechi ya pili twaichezea nyumbani,Imaratikama boli lenyewe do hilo.....bora ganaz waishie hapa..
Mmmh acha uongo mkuu,una uhakika na unachokiongea ama umesimuliwaaaaaaaa
Hapana wewe ni muongo,matokeo ni moja bila(unahesabia na gli la Giggs la offside nn)
Yeah Nkwingwa I'l keep on dreaming,nina uhakika 2nd leg 2takuwa safi,maana nilitegemea leo pale Ngome Kongwe tungepigwa mengi,lakini kwa staili hii ya moja bila nina uhakika tutatoka ndani ya Imarati,maana tutakuwa full mkokoKeep on dreaming wa kukaya!
Hapana nimewaelewa,ila nawapinga wale wanosema matokeo ni 2 bila,labda nimeangalia vibaya,tungekuwa Imarati sawa,labda unielewshe mkulusoma vizuri hujatuelewa au pressure?
Sasa nimekusoma mkuu,si unajua mabo ya mshawasha tenaaa,anyways,hongereni kwa ushindi wa leosoma vizuri hujatuelewa au pressure?
Hapana nimewaelewa,ila nawapinga wale wanosema matokeo ni 2 bila,labda nimeangalia vibaya,tungekuwa Imarati sawa,labda unielewshe mkulu
With the way we started, i think losintg 1-0 to a defending champion away is a good result, all credits to Almunia- we could have easily lost by 3-0. But I cant say "ADVANTAGE ARSENAL" bse I know Man U are capable of nicking that crucial away goal at the Emirates, its not over yet but you have all the rights to call me a 'happy loser', back to my kumala!.
Sasa nimekusoma mkuu,si unajua mabo ya mshawasha tenaaa,anyways,hongereni kwa ushindi wa leo
1-0 is the perfect results for Man U as Sir Alex wanted. next leg will be 1-1 and aggregate Man U 2 - 1 Arn
Mkubwa mbona nshasema kitambo nimekusomaa,si unajua mambo ya mshawasha tenaHakuna aliyesema matokeo ni 2 : 0 bila, hata post ulizonukuu hazisemi hivyo mkuu!
Yeah,nimeona mkulu,nina uhakika tutawachapa hawa jamaa ndani ya Imarati,thank God wametufunga kagoli kamoja tuuuMkuu balantanda, Vijana wamecheza vizuri. Almunia angalau kacheza vizuri.
Yeah,nimeona mkulu,nina uhakika tutawachapa hawa jamaa ndani ya Imarati,thank God wametufunga kagoli kamoja tuuu
Heheeeeeee,ni offside ile wewe,unamsem refa eeh...Nimefurahshwa na matokeo ya leo mkuu,hesabuni kichapo 2nd leg ndani ya Imarati...Tutakuwa full mkoko...Lol1-0 is the perfect results for Man U as Sir Alex wanted. next leg will be 1-1 and aggregate Man U 2 - 1 Arn
Ila goal la Giggs lilikuwa sio off side kabisa sema mshika kibendera ali pre- determine off side kwa Man U players wengine ambao kwa vyovyote walikuwa hawakuingilia mpira ule utasikia. This is second time kwa giggs kuwa right ila kwa kasi ya mchezo waamuzi wana pre determine off side. Unakumbuka ile match nafikiri ni 2000 giggs alijipasia Arsenal wakamchezea off side trick, ikapigwa filimbi mpaka refa akacheka mwenyewe kwa kuchemsha?